Corona: Kenya si salama tena, Wachina waikimbia Kenya kuogopa Corona

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613
Wakati Tanzania idadi ya watalii ikiongezeka kwa kasi kutokana na kuwa na uhakika juu ya Afya zao dhidi ya gonjwa la Covid-19, huko Kenya hali ni kinyume chake ambapo raia wa China wameenda mahakamani ili kulazimisha Serikali ya Kenya kuwaondoa haraka kutokana na hali mbaya ya maambukizi ya Corona nchini humo.

Wachina hao zaidi ya 400 wamesema kwamba, hali ya maambukizi Kenya ni mbaya sana, Hospitali zimezidiwa na Serikali haina uwezo wa kupambana na hiyo hali kwa sasa, hivyo wameomba kurudishwa kwao haraka sana. Mahakama imekubali ombi lao na kuagiza Serikali ya Kenya kushughulikia ombi lao.

=======

0ver 400 Chinese nationals have reportedly raised concerns over Kenya's ability to handle the escalating Coronavirus (Covid-19) pandemic, arguing that they would be safer back in China.

The foreigners obtained a court order which forces the government to facilitate their return home on Tuesday, June 16.

In a report by Daily Nation on Saturday, June 13, their lawyer, Isaac Okinyo, disclosed that evacuation plans had been arranged following the court order issued by Justice Weldon Korir.

Chinese Ambassador to Kenya Wu Peng (Left) and Foreign Affairs Cabinet Secretary Raychelle Omamo pose for a photo on March 10, 2020. They exchanged views on China-Kenya relations and the Covid-19 outbreak.

"We went to court last week and argued why it was necessary for the Chinese to be evacuated since they are considered vulnerable. I don't think there is anything to stop them. We were given the go-ahead to process their evacuation.

"They have underlying conditions and others just don't feel safe here. The Kenyan government is facing a huge task on maintaining isolation centres which are full, testing and contact tracing is also a challenge. Let them just go back home as they wish," Okinyo stated.

The lawyer added that the Chinese nationals were awaiting approval from the Ministry of Foreign Affairs under CS Raychelle Omamo.

China's Ambassador to Kenya, Wu Peng, was also recalled by his country and his compatriots will be banking on his return to secure their evacuation.

The Chinese also lamented that they have been discriminated against ever since the Covid-19 pandemic broke out in Kenya on Friday, March 13.

"The other day, I went to a supermarket and people fled. In hospitals where we go for check-ups, the medics always insist that we should be tested for Covid-19. I am not sure whether I will come back to Kenya," one Chinese woman lamented.

Kenyans had also lamented that the government was favouring Chinese nationals, as Kenyans languished in China. This was after reports emerged that Kenyans had been evicted from their homes and forced to live in the streets in China. In Kenya, a Chinese plane with 239 passengers overboard sparked uproar after it was allowed to land at the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) after the Coronavirus pandemic broke out.

On Friday, June 12, Kenya had recorded 3,305 Coronavirus cases with 96 fatalities and 1,164 recoveries. Health CS Mutahi Kagwe while addressing the media on Thursday, June 4, acknowledged that isolation camps were congested with a soaring number of admitted patients.

The CS rolled out a home-based care program after explaining that over 80 per cent of patients in the hospital are asymptomatic and can be managed from home.

President Uhuru Kenyatta had earlier on explained that he extended the nationwide curfew and intercounty lockdown in Nairobi and Mombasa Counties after health experts warned him that the country was not ready to handle a full-blown crisis.

"I wanted to open and it was my desire. All who wanted to open are right, same as those against it. If we had not taken the actions we had taken, approximately 75,000 Kenyans would have lost lives," Kenyatta stated. Our health system should also be beefed up before we decide if we shall open. There are counties that have 10 beds in isolation and have already recorded 9 cases," he added.

Source: Chinese Stuck In Kenya Cry For Help
 
Hapa naona suala la Imani linashika hatamu, Tanzania ilipoanza ya Corona tulianza na mkakati Wa kumuomba Mungu kwa siku tatu tukifunga kwa maombi, na pia wakati wenzetu wakifunga nyumba za ibada kuzuia kuambukizana wakiwa kwenya ibada, sie WàTz tuliruhusu nyumba za ibada zifanyike ibada, na baadaya tukafunga kwa maombi, kisha tukaanza kumshukuru Mungu.
Kwa maana ya kwamba tukaamini kwamba Mungu kashaiondosha Corona nje ya mipaka yetu.
Sasa tumeanza maisha mapya tena Watalii wanakuja na wawekezaji pia wameanza kurudi na mwisho Wa siku maisha yanenda.
Sasa Swala APA ni IMANI ya Watanzania na kukiri kwao juu ya jambo hilo likiongozwa na Viongozi wetu wa Nchi,
Viva Tanzania......
 
Sikujiuliza mara mbili magufuli alipo sema "AMEMUACHIA MUNGU CORONA."
siku zote mimi naamini sana katika MUNGU.
Japo wenye akili kubwa walitucheka.
Lakini leo tumeshinda

Tufunge mipaka yetu is, hizi Danganyikan biological weapons zizije zikatumaliza. Who will want to visit a country like Tanzania where goats and even pawpaws have Coronavirus. #Tanzaniaisnotsafe
 
Sisi tumeishawafungia muda mrefu.
 
Mama la mama haupo hata updated!
 
Sisi tumeishawafungia muda mrefu.
Screenshot_20200613-212135.png

Uzi huu ni kama kituo Cha polisi kwa MK 254! Hatii mguu hapa!
Mama la mama haupo hata updated!
Sikujiuliza mara mbili magufuli alipo sema "AMEMUACHIA MUNGU CORONA."
siku zote mimi naamini sana katika MUNGU.
Japo wenye akili kubwa walitucheka.
Lakini leo tumeshinda
Hahaha hili nalo neno
Hao wachina waangaliwe sana, wasije wakatorokea huku TZ.

Back
Top Bottom