Corona: Japo ni janga, pia ni fursa. Tanzania bado hakuna maambukizi, tupunguze panic, tuongeze Elimu. WB kumwaga mihela, tuchangamkie fursa

Lakini pia sio vizuri kufikiria kupokea mlungula kutoka kwa mabeberu
Mlungula ni pesa zinatolewa kwa lengo la kutongoza, grants sio mlungula ni ufadhili, hivyo nchi na mashirika haya yanapotusaidia, yanakuwa ni nchi rafiki, nchi wahisani, development partners, ila wanapotuingilia mambo yetu ya ndani, then wanakuwa mabeberu.
P
 
Unawaza pesa tu muda wote ndio maana huchoki kuchongea wenzio ili upate chochote.
Unajidhalilisha sana ndugu
No sio kuwaza pesa bali ni kuwa open minded. Closed minded wanasubiri kila kitu kiagizwe, hivyo kupeleka pesa nje ni poa lakini Watanzania wakijituma kutengeneza supplies due to increased demand hawa kazi yao ni kuwaza pesa!.
P
 
Hivyo vitu vipatikane wapi?, vishushwe kutoka mbinguni kama mana?. Ile kuvitengeneza tuu ni fursa!. Tuna viwanda kibao vya madawa, sasa tunasubiri ndege ya kutoka China ituletee sanitizers na masks za kututosha wakati tuna fursa ya kuzitengeneza wenyewe!.
P
Taiwan imepeleka US tons ya misaada ya Saniizers, na Masks
Giorgi armani Billionea katoa msaada wa $28 Millions Italia
Masks 100000 kutoka taiwani hadi US.

Kama US inasaidiwa sisi, tukihamasisha fursa tunahamasisha Ukatili ktk Majanga yanayohitaji ubinadamu na sio Kuwaona wahanga kama fursa.
 
Wote walio interact na yule first victim, wamechukuliwa sample na ikaletwa maabara Dar ikapimwa, so far bado hakuna maambukizi yoyote locally.
P
Mamia ya wageni wanapitia airports bila kuwa detected na mwishowe wanajichanganya na wenyeji kama ilivyokuwa kwa mwana FA!Uganda hadi sasa hivi haijagundua kisa chochote mpaka sasa hivi ila wamefunga mipaka yao yote ila sisi Tanzania akina Polepole ndiyo wanatoa matamko ya kupambana na Corona! Hatupo serious!
 
Tanzania siyo masikini bwana
Mlungula ni pesa zinatolewa kwa lengo la kutongoza, grants sio mlungula ni ufadhili, hivyo nchi na mashirika haya yanapotusaidia, yanakuwa ni nchi rafiki, nchi wahisani, development partners, ila wanapotuingilia mambo yetu ya ndani, then wanakuwa mabeberu.
P

In God we Trust
 
Kumbe hizo pesa zitapita tu apa nasiokuingia kutumika ndani...Ebu nipe Elimu apa ndugu...unajua waswahili mna mambo mengi
 
Tofautisha kuiombea Corona ije, na kuchangamkia fursa za Corona.
P
Naona yote yale yale, kama alieiomba ije alikosea, sasa wewe ulitakiwa uhimize hata wasio na uwezo wa hizo mask na vingine wasaidiwe (kumbuka walemavu na wasiojiweza), but all in all, kutegemea kujinufaisha kupitia janga naamini ni dhambi mpaka kwa Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Hivyo vitu vipatikane wapi?, vishushwe kutoka mbinguni kama mana?."

"MANA"kaka paskal naona kakuchosha ukaona isiwe tabu

Back
Top Bottom