Corona imethibitisha bila shaka Zanzibar ni mkoa wa Tanzania, haina haja ya Serikali mbili, ni kupoteza hela

Kama unataka kujuwa kama Zanzibar ni nchi subiri 12 Jan 2021 utizame jinsi Rais wa Tanganyika anavoingia mwanzo akifuatiwa na Rais wa Zanzibar. Tizama 2020 kwa unavomjuwa JPM kuingia kwenye ukumbi na asipewe nafasi ya kuongea. Hapo ndipo utajuwa kuwa Zanzibar ni nchi.
 
Sakata la Corona limethibitisha bila shaka kabisa kuwa Zanzibar ni mkoa wa Tanzania ama Tanganyika Kama wenyewe wanavyopenda kuita.

Sababu ni Zanzibar ilikuwa ikitoa updates za Corona tofauti na Tz Sababu suala la Afya sio la Muungano, Tanzania ilipoacha kutoa updates, Zanzibar waliendelea kutoa update zao, nikajisemea kweli hawaingiliwi kwenye mambo Yasiyo ya Muungano.

Lakini baadae Tz ilitangaza kufunga maabara yake kwa madai kuwa mashine za kupimia haziaminiki,

Zanzibar wakatangaza kununua mashine yao ili wasiitegemee Tz Tena Wala maamuzi yao kuhusu namna ya ku handle Corona yasiwaathiri.

Lakini Cha ajabu licha ya kununua ile mashine imebidi tu wacheze ngoma ya Tanzania kuhusu Corona, nadhani Shein alipigiwa simu na kuamrishwa ampige stop Waziri wake wa Afya, hakuna Cha suala la Muungano au la.

Naona huu Muungano na Serikali mbili umebaki tu kwenye makaratasi, Zanzibar hawana power yoyote real ya kuamua chochote Cha muhimu hata kusipokuwa Cha Muungano, ni muda Sasa wa ku-integrate fully tuwe kitu kimoja tuachane na huu mchezo.
Ni mashine ipi ile waliyonunuliwa na Rostam au
 
Wazanzibar wapo wachache sana yan 1.5M alafu wanataka kuwa nchi wakati hata arusha ni wengi kuliko wao
 
Wazanzibar wapo wachache sana yan 1.5M alafu wanataka kuwa nchi wakati hata arusha ni wengi kuliko wao
MUME NI MUME TUU HATA KAMA MFUPI,ALIMURADI ANZO MBEGU NA KIRUNGU KINATEMBEA VIZURI .
NI KAWAIDA WANAWAKE HUWA NA MIILI MIKUBWA, LAKINI TEPWEEEE.
 
Majibu ya kifedhuli ya baadhi yenu yanatutia moyo sana, kwani yanazidisha ile dhana kuwa sio wa maana na kuwa Muungano ufe leo na sio kesho. Wazanzibari wengi hatuutaki huu Muungano na hakuna nguvu itakayotufanya tuutake milele. Kinachokuja ni kuvunjika tu kwa huu Muungano na sio chengine. Hali haitobakia hivi siku zote tukidhalilika ndani kwa ndani. Gorbachev atatokea tu In Shaa Allah!
 
Mwanzoni mwa uongozi wa JPM ilikuwa inasemwa kuwa JK anaongoza nchi kwa remote kutoka Msoga.
 
Back
Top Bottom