Corona imethibitisha bila shaka Zanzibar ni mkoa wa Tanzania, haina haja ya Serikali mbili, ni kupoteza hela

China - Hong kong theories
Hong Kong na China ni tofauti kabisa na hili la Zanzibar na Tanganyika

Hong Kong na China ule sio Muungano, Hong Kong haikuwahi kuwa nchi huru Kama Zanzibar, lilikuwa Jimbo la China lililotwaliwa na Uingereza kibabe likaja likarudishwa kwa China, Sasa halitaki kuwa sehemu ya China tena
 
Sakata la Corona limethibitisha bila shaka kabisa kuwa Zanzibar ni mkoa wa Tanzania ama Tanganyika Kama wenyewe wanavyopenda kuita.

Sababu ni Zanzibar ilikuwa ikitoa updates za Corona tofauti na Tz Sababu suala la Afya sio la Muungano, Tanzania ilipoacha kutoa updates, Zanzibar waliendelea kutoa update zao, nikajisemea kweli hawaingiliwi kwenye mambo Yasiyo ya Muungano.

Lakini baadae Tz ilitangaza kufunga maabara yake kwa madai kuwa mashine za kupimia haziaminiki,

Zanzibar wakatangaza kununua mashine yao ili wasiitegemee Tz Tena Wala maamuzi yao kuhusu namna ya ku handle Corona yasiwaathiri.

Lakini Cha ajabu licha ya kununua ile mashine imebidi tu wacheze ngoma ya Tanzania kuhusu Corona, nadhani Shein alipigiwa simu na kuamrishwa ampige stop Waziri wake wa Afya, hakuna Cha suala la Muungano au la.

Naona huu Muungano na Serikali mbili umebaki tu kwenye makaratasi, Zanzibar hawana power yoyote real ya kuamua chochote Cha muhimu hata kusipokuwa Cha Muungano, ni muda Sasa wa ku-integrate fully tuwe kitu kimoja tuachane na huu mchezo.

Hujaeleweka. Umegusa vitu vingi sana, sijui muhimili wa Point yako umesimamia wapi.

  • Mosi umezungumzia juu ya uamuzi wa SMZ kununua mashine yake, kuwa huru na kutoitegemea TZ Bara.
  • Pili, umezungumzia udikiteta wa kuipiga mkwara SMZ kuacha kutangaza.
  • Tatu, SMZ kuwa hawana power (nguvu) yeyote ya kuamua chochote cha muhimu hata kusipokuwa na muungano.
Napenda uelewe kama unazungumzia kulazimishwa kuchukua uamuzi usioutaka, haimaanishi serikali imekufa. Udikiteta hata siku moja haujashinda katika dunia yetu hii. Tz sio kubwa na ina nguvu zaidi ya serikali ya Stalin na Gobachev. Watu walipochoka kila nchi ndani ya muungano huo ikajitoa. Ukrain, Belarus, Geogia nk. Hivyo hilo neno lako la mkwara limeharibu hitimisho lako.

Dhamira ya watu husika ndio la msingi. Jiulize, huvi wazanzibar wanataka nini juu ya hilo swala? Sahau hayo makaratasi si ya muhimu kuliko anachotaka mtu mwenyewe.

Kusanya hoja zako na uje kivingine ili HITIMISHO lako liwe na mashiko.
 
Kwa mara ya kwanza Mpemba kupanda gari moshi kutoka Dar kwenda Mwanza miaka ya 47 (ya Nyerere). Kufika Morogoro mwenyeji wake akamwambia hapa ni Morogoro. Safari ikaendelea kufika Dodoma akaambiwa. Akalinganisha umbali aliosafiri akamuuliza mwenyeji wake, kwa lafudhi ya kipemba "yakhee huku kote n' kwa Nyerere?" Akaambiwa ndio, akajibu "Mbona atunjaa?" Asalam aleikum.
 
" mbona atunjaa" ndiyo kusema nn? Fafanua
 
Jifunze tofauti ya Zanzibar na Tanganyika pia jifunze maana ya Tanzania maana naona ume mix mafile kwenye huu uzi wako.

Ufafanuzi tafadhali ninavyoelewa mm
Zanzibar =visiwa vya unguja na pemba
Tanganyika = ni bara la tanzania
Tanzania = ni muunganiko wa visiwa na bara
Ukiangalia kwa umakini mkubwa utaona kuna serekali tatu
Maana yake zipo wizara za visiwani zipo wizara za bara na zipo wizara za visiwani na bara ebu mnisaidie
 
Sakata la Corona limethibitisha bila shaka kabisa kuwa Zanzibar ni mkoa wa Tanzania ama Tanganyika Kama wenyewe wanavyopenda kuita.

Sababu ni Zanzibar ilikuwa ikitoa updates za Corona tofauti na Tz Sababu suala la Afya sio la Muungano, Tanzania ilipoacha kutoa updates, Zanzibar waliendelea kutoa update zao, nikajisemea kweli hawaingiliwi kwenye mambo Yasiyo ya Muungano.

Lakini baadae Tz ilitangaza kufunga maabara yake kwa madai kuwa mashine za kupimia haziaminiki,

Zanzibar wakatangaza kununua mashine yao ili wasiitegemee Tz Tena Wala maamuzi yao kuhusu namna ya ku handle Corona yasiwaathiri.

Lakini Cha ajabu licha ya kununua ile mashine imebidi tu wacheze ngoma ya Tanzania kuhusu Corona, nadhani Shein alipigiwa simu na kuamrishwa ampige stop Waziri wake wa Afya, hakuna Cha suala la Muungano au la.

Naona huu Muungano na Serikali mbili umebaki tu kwenye makaratasi, Zanzibar hawana power yoyote real ya kuamua chochote Cha muhimu hata kusipokuwa Cha Muungano, ni muda Sasa wa ku-integrate fully tuwe kitu kimoja tuachane na huu mchezo.
Zanzibar chuna buzi wa Tanganyika ni kainchi tegemezi kasiko na nguvu yeyote bali Uhuru wa Bendera maigizo
 
Zanzibar ni bora iwe wilaya tujue moja hawana mamlaka yeyote mbale ya Tanganyika
 
Tanganyika hakuna, ilishakufa 1964, Kuna Tanzania,

Unaweza kuniambia Rais wa Tanganyika ni Nani? Bendera yake? Katiba ya Tanganyika?
Part (b) inairuhusu Tanganyika kufanya amendment wakati wowote ,kwani Zanzibar imemezwa ndani ya Katiba ya Tanganyika kwa mujibu wa mkataba huu.
Lakini Tanzania ni nchi ya kufikirika ,wala haipo,ila Tanganyika ndiyo iliyopewa Dhamana ya Zanzibar.

MAMBO YA MUUNGANO 001.jpg
 
NYONGEZA YA KWANZA (MAMBO YA MUUNGANO)
_________
(Imetajwa katika ibara ya 4)
Mambo ya Muungano hilo la takwimu limondani ya mambo ya muungano

20.Takwimu.
 
Back
Top Bottom