toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,581
- 4,628
Nilikuwa na vibiashara vyangu na Connection tamu na nzuri sana kutoka huko Aliexpress, Alibaba na mitandao mingi tu ya China kuhusu bidhaa.
Nilikuwa nishajenga hadi mahusiano ya ukaribu na wachina mitandaoni kiasi cha kuweza kununua mizigo mingi tu kwa punguzo.
Nilikua nimebase kwenye cosmetics na Electronics hususani vitu original.
Nilianza na mtaji mdogo sana nakumbuka mpaka nikaraise mpaka kwenye milioni 3 huko.
Ilikuwa biashara nzuri. Ukishakuwa na Connection China inakuwa raha, unajihisi kabisa upo kule.
Biashara unatumia lets say unatumia milioni 2 unakuja unapiga faida ya milioni 2 nyingine juu fasta ndani ya miezi miwili.
Toka hili Licorona limeingia ndo mambo yameharibika kabisa, sellers wangu almost 90% sijui wamekwenda wapi hawapatkani tena, bahati nzuri mizigo yote ilifikaga February mwanzoni huko.
Sijui ndiyo wamekufa? Hao waliobaki wanajitutumua tu lakini hamna kitu wanasema mpaka mwezi wa 8 huko wengine wanakuambia wapo active ila kuingia kwao online ni kwa shida shida tu.
Licorona limenivurugia kila kitu, haki ya mama kama ilitengenezwa na mtu alaaniwe mpaka kuzimu.
Na unajua tena Bongo bahati mbaya, ndugu zangu biashara zenyewe ukijaribu kununua ndani humuhumu hamna kitu. Biashara zinatembea mwendo wa kobe tu.
Mambo yakiwa magumu nitaanza kudanga. Nitadangia vibibi vya watu na majimama wastaafu
Nacheka kama mazuri ila Corona sio poa kabisa kwa ulichoyafanyia maisha yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app