Corona imeisha, Rais katoka Chato wapinzani wana ajenda gani huko mitandaoni?

Chifyono

JF-Expert Member
Oct 16, 2017
921
1,658
Wakuu
Habari zilizokuwa zinashikiliwa na wapinzani wa nchi hii wanategemea matukio ndio watrend sijui kwa sasa wanahali gani na wanapost vitu gani katika mitandao ya kijamii

Corona imeshindwa Tanzania, Rais amerejea ikulu leo kutokea chato
nini wapinzani na wanaojiita wanaharakati nchi hii wanaandika vitu gani muda huu au ndio mpaka tukio lingine lijitokeze?
 
Mkuu ccm wenye agenda wasiotegemea matukio wao walikuwa wanapost nini wakati rais alipokuwa kajificha? Na sasa katoka mafichoni wakati bado corona ipo, ccm wanapost nini?
 
Alienda Chato kufanya nini ?
 
Akili zingine mnzitoa wap watanzania wenzangu,Tumelogwa na nani?
Ina maana ikisemwa majukuani Corona imeisha Basi na ww kwa upeo wako Mdogo unaamini hivyo.

Basi fungueni vyuo na shule watoto wasome lkn pia muamshe matumaini ya kutoshuka kiuchimi taasisi za elimu binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ccm wenye agenda wasiotegemea matukio wao walikuwa wanapost nini wakati rais alipokuwa kajificha? Na sasa katoka mafichoni wakati bado corona ipo, ccm wanapost nini?
Sasa dandieni ishu ya malori ya Kenya kuzuiwa boda pigeni kelele yaruhusiwe shida si muonekani mpo kinyume na watanzania au
 
Wakuu
Habari zilizokuwa zinashikiliwa na wapinzani wa nchi hii wanategemea matukio ndio watrend sijui kwa sasa wanahali gani na wanapost vitu gani katika mitandao ya kijamii

Corona imeshindwa Tanzania, Rais amerejea ikulu leo kutokea chato
nini wapinzani na wanaojiita wanaharakati nchi hii wanaandika vitu gani muda huu au ndio mpaka tukio lingine lijitokeze?
Duuh! Kwa hio jemedari wa vita alikimbia corona! Vita 'vimeisha' sasa ndio karudi!
 
Wakuu
Habari zilizokuwa zinashikiliwa na wapinzani wa nchi hii wanategemea matukio ndio watrend sijui kwa sasa wanahali gani na wanapost vitu gani katika mitandao ya kijamii

Corona imeshindwa Tanzania, Rais amerejea ikulu leo kutokea chato
nini wapinzani na wanaojiita wanaharakati nchi hii wanaandika vitu gani muda huu au ndio mpaka tukio lingine lijitokeze?
Nchi masikini kama Tz, tena yenye ombwe wapinzani hawakosi hoja hata kama Corona ingeisha.
1. Uhusiano mbaya na nchi jirani
2. Wenzetu wamepata mpunga WB sisi patupu
3. Tume huru
4. Katiba mpya
5. Democrasi/ udikteta
Sema jingine!!
 
Masikini akipata matako hulia mbwata!!!! Sio mpunga huo ni madeni hayo, shiba ukijua unadaiwa...
 
Back
Top Bottom