Corona: Huu ndio ukweli kwanini Kenya inaiombea mabaya Tanzania

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613
MY TAKE: Tabia ni kama ngozi ya mwili, huwezi kuibadili. Tabia ya wakenya ni roho mbaya na kutofurahia mafanikio ya nchi zingine, wameanza kufunguka yaliyo moyoni baada ya kuona wanakaribia kupoteza katika mapambano ya Corona.

======

Why Magufuli May Have The Last Laugh After COVID-19 Is Over

Ever since the pandemic started, leaders of nations have been looking for ways to curb the virus. Every president trying as much as they can with the available resources.

Our country Kenya through the government, aside washing hands and putting on masks also gave restriction orders; the dusk to dawn curfew, cessation of movement and lockdown.

Our neighboring country Tanzania, led by president Magufuli knows none of that. The country has no restrictions. He says, ‘everybody for themselves, this is just like any other disease’.

Magufuli himself does not wear any mask and he interacts with a lot of people. His own son even had the virus but reportedly recovered. People going to work places, to their farms like there is no virus.

When Kenya is taking loans from developed countries to help fight the virus, Tanzania rejected any loans. Magufuli had even declared Tanzania corona free. He says only 4 patients remain admitted. Prayers are indeed working for them.

While in Kenya 167 cases have been recorded today. But the question still remains on why Magufuli does not want to publicize the cases in Tanzania.

Both Kenya and Tanzania presidents are doing just fine in fighting the virus. But the difference is the Kenyan president is after saving the lives of citizens at the expense of the economy, while the Tanzanian president is after saving the economy at the expense of his citizens.

Kenyans may desperately be longing for failure in the way Magufuli is responding to covid-19. This is because if they succeed, he will have the last laugh. The virus contained and the economy stable. Kenyans will on the other side feel ashamed; following directives, taking loans, all for nothing.

Source:
Why Magufuli May Have The Last Laugh After COVID-19 Is Over
 
Your take is mere unfounded hatred on Kenya, do you suffer from schizophrenia or paranoia? Watu wenye hizi maradhi wana fikra kama hii yako. If anyone disagrees, have a different opinion from them or appear to compete with them wanadhani ule mtu ana roho mbaya, ama nia mbaya, eti anataka kummaliza, na anamchukulia kama adui , nenda ukamwone daktari, uko na daalili za schizophrenia or paranoia.

Mumelishwa propaganda hadi mnatapika maradhi ya chuki.
 
Kule twitter wameanza tena ile tabia ya kuiombea mabaya Tanzania,

Kuna huyu kazi yake ni kueneza uwongo kuhusu Tz utafikiri hatawahi kuvuka boda kuingia Tanzania,

Hivi muafrika unafaidika na nini kueneza uwongo kuhusu nchi nyingine ya Africa?

Baada ya viongozi wa kenya na wajinga wengine kuona kuwa Tanzania imefanikiwa pakubwa kwenye hili janga bila kuumiza raia yoyote kwa kutumia njia za kucopy zisizo endana na mazingira ya Africa yaani kafyu na aina yoyote ya lockdown wameanza kueneza uwongo kwa kusema eti mambo ni mabaya sana Tz,

Ila kuna baadhi ya wakenya wanaishi Tanzania ni mashahidi kuwa Tanzania ni shwari kabisa,
 
Propaganda ni nini?
Embu nipe maana ya neno propaganda,

Hivi si ni wakenya pamoja na viongozi wenu ndio wanaeneza propaganda kuwa mambo ni mabaya Tanzania?
 
Mmeua wananchi wenu kuliko Corona, na mkopo huu,lakini mmeshindwa kumaliza Corona, ngoja hao wanne waliobaki wao doke hospital alafu tuitangazie dunia TZ ni corona free,mtapata aibu ya mwaka.
 
Anayefikiria tunafanya vizuri kuliko Kenya anajidanganya, watz wanakufa kimya kimya tu sema haitangazwi, serikali haina muda huo wao washaamua liwalo na liwe. Wanaopata haka kaugonjwa na kufa wapo wengi tu, wapo wengi zaidi wanaopona. Tungekua tuna vipimo kama Kenya ungeona namba zetu ambavyo zingekua juu.
 
Joto la jiwe hatokubaliana nawe, in this Kenyan forum wengi humu ni wa Tanzania amboa ni vibaraka wa ccm with blind patriotism mentality, yeye ni kujidanganya tu.

Wewe umejibu nini hapa? Unanirukia tu ovyo kama kima without reading to understand first, your response is a misfire. Nenda shule shabiki wa ccm.
Mmeua wananchi wenu kuliko Corona, na mkopo huu,lakini mmeshindwa kumaliza Corona, ngoja hao wanne waliobaki wao doke hospital alafu tuitangazie dunia TZ ni corona free,mtapata aibu ya mwaka.
 
Anayefikiria tunafanya vizuri kuliko Kenya anajidanganya, watz wanakufa kimya kimya tu sema haitangazwi, serikali haina muda huo wao washaamua liwalo na liwe. Wanaopata haka kaugonjwa na kufa wapo wengi tu, wapo wengi zaidi wanaopona. Tungekua tuna vipimo kama Kenya ungeona namba zetu ambavyo zingekua juu.
Kwahiyo kama hawatangazwi wewe umejua vipi kwamba wanaokufa ni wengi, au wewe mwenzetu umejipa kazi ya kuzunguka nchi nzima kukusanya hizo taarifa?.

Mwenzako Kigogo na Mangi Kimambi walikua wakitoa hizo takwimu ila siku hizi nao wameamua kuacha kuzitoa baada ya kugundua kwamba hazina tena mvuto kwa jamii.

Hivi kwa jinsi tunavyojiachia huku Tanzania, kama huo ugonjwa upo, kweli hivyo vifo tungeweza kuficha?, ninahisi kila siku sio chini ya watu kumi katika kila Mtaa mijini, huko vijijini huwezi ficha. Ina maana hata Zitto, Mbowe,Heche, Msigwa, Halima Mdee na wengine pia wameamua kuficha?
 
Kule twitter wameanza tena ile tabia ya kuiombea mabaya Tanzania,

Kuna huyu kazi yake ni kueneza uwongo kuhusu Tz utafikiri hatawahi kuvuka boda kuingia Tanzania,

Hivi muafrika unafaidika na nini kueneza uwongo kuhusu nchi nyingine ya Africa?

Baada ya viongozi wa kenya na wajinga wengine kuona kuwa Tanzania imefanikiwa pakubwa kwenye hili janga bila kuumiza raia yoyote kwa kutumia njia za kucopy zisizo endana na mazingira ya Africa yaani kafyu na aina yoyote ya lockdown wameanza kueneza uwongo kwa kusema eti mambo ni mabaya sana Tz,

Ila kuna baadhi ya wakenya wanaishi Tanzania ni mashahidi kuwa Tanzania ni shwari kabisa,

Hakuna mtu nanakufa mitaani kwa sasa. Nyungu imesaidia sana
 
Joto la jiwe hatokubaliana nawe, in this Kenyan forum wengi humu ni wa Tanzania amboa ni vibaraka wa ccm with blind patriotism mentality, yeye ni kujidanganya tu.
Kwahiyo wenyekupinga serikali, wao ndio hawapo blind, ila wenye kuunga mkono Serikali ndio wapo blind sio?. Hahahaha
 
Propaganda ni nini?
Embu nipe maana ya neno propaganda,

Hivi si ni wakenya pamoja na viongozi wenu ndio wanaeneza propaganda kuwa mambo ni mabaya Tanzania?
Weka evidence nyambaf!, ni nini inawatuma huku Kenyan news forum? Hesabu uzi mulizofungua mukiponda Kenya, hiyo perspective is influenced by skewed information mlio nayo kuhusu Kenya. Je wewe umeona mkenya amefungua uzi kwenye Tanzanian news section ama kwenye jukwaa la hoja mchanganyiko?., Kenya inawatesa kimawazo, avoid mpone, la sivyo mnafukuza upepo tu ,
Nenda hesabu threads zenye wenzako wamefungua humu, sisi nikujibu tu, kisha wenyewe mnakerwa
 
Nilijua this was coming
Kwahiyo kama hawatangazwi wewe umejua vipi kwamba wanaokufa ni wengi, au wewe mwenzetu umejipa kazi ya kuzunguka nchi nzima kukusanya hizo taarifa?.

Mwenzako Kigogo na Mangi Kimambi walikua wakitoa hizo takwimu ila siku hizi nao wameamua kuacha kuzitoa baada ya kugundua kwamba hazina tena mvuto kwa jamii.

Hivi kwa jinsi tunavyojiachia huku Tanzania, kama huo ugonjwa upo, kweli hivyo vifo tungeweza kuficha?, ninahisi kila siku sio chini ya watu kumi katika kila Mtaa mijini, huko vijijini huwezi ficha. Ina maana hata Zitto, Mbowe,Heche, Msigwa, Halima Mdee na wengine pia wameamua kuficha?
 
Kwahiyo kama hawatangazwi wewe umejua vipi kwamba wanaokufa ni wengi, au wewe mwenzetu umejipa kazi ya kuzunguka nchi nzima kukusanya hizo taarifa?.

Mwenzako Kigogo na Mangi Kimambi walikua wakitoa hizo takwimu ila siku hizi nao wameamua kuacha kuzitoa baada ya kugundua kwamba hazina tena mvuto kwa jamii.

Hivi kwa jinsi tunavyojiachia huku Tanzania, kama huo ugonjwa upo, kweli hivyo vifo tungeweza kuficha?, ninahisi kila siku sio chini ya watu kumi katika kila Mtaa mijini, huko vijijini huwezi ficha. Ina maana hata Zitto, Mbowe,Heche, Msigwa, Halima Mdee na wengine pia wameamua kuficha?

Vifo vinafichika vizuri mbona, haka kaugonjwa nchi nyingi kanaua less than 1% kwa vijana unategemea uone vifo vingi vya kushtua? Kumbuka nchi za Afrika zinaongoza kwa idadi ya vijana na watoto unlike nchi za nje ambazo zimejaa wazee, kwa hiyo sioni cha ajabu kuona watu wanaokufa ni wachache Afrika, ila haimaanishi hawafi na hivyo vifo havizuiliki, ni asilimia ndogo ukiangalia interms of asilimia ila still ni number kubwa ukilinganisha na population size. Watu wanaokufa na sababu nyingine kila siku ni wengi ndiyo maana tunaona kawaida tu. Ila iingekua tupiime kweli waliokufa na corona ni wangapi nina uhakiika Kenya tungekua tushawapita mbali sana.
 
Kwahiyo kama hawatangazwi wewe umejua vipi kwamba wanaokufa ni wengi, au wewe mwenzetu umejipa kazi ya kuzunguka nchi nzima kukusanya hizo taarifa?.

Mwenzako Kigogo na Mangi Kimambi walikua wakitoa hizo takwimu ila siku hizi nao wameamua kuacha kuzitoa baada ya kugundua kwamba hazina tena mvuto kwa jamii.

Hivi kwa jinsi tunavyojiachia huku Tanzania, kama huo ugonjwa upo, kweli hivyo vifo tungeweza kuficha?, ninahisi kila siku sio chini ya watu kumi katika kila Mtaa mijini, huko vijijini huwezi ficha. Ina maana hata Zitto, Mbowe,Heche, Msigwa, Halima Mdee na wengine pia wameamua kuficha?
Baada ya Al-Jazeera sasa ni Sky News inawamulika. Usiseme ni Nyang'au kaleta habari hizi.
 
Anayefikiria tunafanya vizuri kuliko Kenya anajidanganya, watz wanakufa kimya kimya tu sema haitangazwi, serikali haina muda huo wao washaamua liwalo na liwe. Wanaopata haka kaugonjwa na kufa wapo wengi tu, wapo wengi zaidi wanaopona. Tungekua tuna vipimo kama Kenya ungeona namba zetu ambavyo zingekua juu.
Wamekufa ndugu zako wangapi?
 
Back
Top Bottom