Mafiningo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 4,436
- 4,646
Chanjo inakinga na hivyo kusaidia kutibu,,, acha upotoshaji.Umesema vyema sana Kiongozi. Sasa tunarudi kwenye hoja, kwamba, kwa kuwa chanjo haitibu maambukizi, na wala hahizuii maambukizi, na kama viongozi wetu wanakuwa wapenddwa watazamaji, tuchukue hatua sisi za kujilinda. Tuzingatie kanuni zote za Afya kama tulivyovanya kwa awamu zlizopita. Kuna dawa zetu zilitumika kutibu wagonjwa waliokuwa wanalazwa na pamoja na kwamba kweli tulipoteza ndugu na wapenzi wetu, lakini tulifanya vizuri kulinganisha na jirani zetu katika ukanda wetu.
Najua ni vigumu kumlazimisha abiria mwenzako avae barakoa ama afunike uso anapokohoa ama kupiga chafya. Ni vigumu abiria kudhibiti ujazaji abiria uliokithiri ikiwa hata vyombo vya serikali vinajaza lumbesa mfano mwendo kasi na pantoni, mbio za mwenge n.k. Trafic wako kila kona lakin hakuna hata anayesimamisha gari na kudhibiti lumbesa za abiria.
Hii , ki kwetu inaitwa "YATIMA HADEKI", na kwa kule unguja inaitwa "UTAJIJU",
Tuiombe serikali, japokuwa nasikia saauti inasema "kila mtu abebe mzigo wake", tuome isaidie kupeleka dawa zetu zilzotuvusha katika vipindi vilivyopita.
Ninakumbuka Rasi alitangaza tuombe Mungu kwa siku tatu. Kweli tuliomba na ilipatikana dawa ambayo inasemekana kutibu vizuri zaidi Delta Variant ambayo inasambaa kwa kasi kuliko zilzopita. Hiyo dawa itengenezwe kwa wingi na ipelekwe kila sehemu angalua kila raia apate. Hii inaonekana ni budget kubwa lakini si kitu ukilinganisha na hasara tunayoipta kwa kupoteza hazina zilizo ndani ya watu, gharama za machanjo n.k. Ni kiasi cha kuahirisha mbio za mwenge na kujikita kwenye kuzalisha na kusambaza dawa hizo wakati biashara ya Johnson ikiendelea.
Watu wanahitaji tiba kwanza kabla ya chanjo. Tiba iliyotusaidia, sasa hivi ukiizungumzia unakula ban. Kipaumbele ni chanjo ambayo hata haizuii maambukizi wala haitibu.
Kama serikali imetutelekeza hivyo, tupashane habari sisi wenyewe na kusaidiana namna ya kupeleka tib hata kwa wazee walioko vijijini.
Mungu aliyetusaidia, hata sasa atatusaidia. Tumtangulizeni yeye, na kisha tuungane bila ushaibiki wa kisiasa ama kibiashara. Kwa sasa tunahitaji tiba.
Zamani hatukuwa na record yoyote zaidi ya kupigwa marufuku hata kujisema mtu binafsi kuwa anaumwa corona ,hivyo hatungeweza kujilinganisha na yeyote.
Hiyo mitishamba haijakatazwa kuitumia ,usilazimishe legacy.
Chanjo inakinga, na hivyo kusaidia kutibu. Tusipotoshe kienyejienyeji.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app