Corona: Baada ya Ikulu ya Kenya, ofisi za Safaricom, kirusi chavamia kambi za KDF kwa nguvu

Sijawahi kusikia, unaweza kunipa link au ushahidi katika hili?
Kiingereza noma utapata wapi taarifa Kama hizo Kama the only people you can communicate with outside Tanzania ni Wakenya?
1.Huwezi toboa Nairaland - hapa labda uwe mtu wa kufinya like button tu. 😂😂
2. Hutoboi Skyscrapercity unless Kuna Wakenya na Watanzania wakutafsirie kwa kiswahili.
3. Huwezi toboa Somalispot.com labda ubonyeze Like button.
4. Buganda Forums pale ndio watakuwa wamekuchanganya kabisa kwa lugha ya malkia na zao za asili.

Piga kelele hapa, it's the only place you can be relevant otherwise hata pande ya jukwaa la siasa we ni boya wa buku Saba.
 
Eti unaomba Al shabaab wapate taarifa., roho ya kishetani hii unayo joto la jiwe, inasikitisha,

Do you know Tanzania ndio inazaa Al shabaab na terrorism groups ukanda huu?., do you know wale wana finance Al shabab na other Islamic terror groups ni baadhi ya warabu wengi wenye pesa pale Dar? najua hili haulijui., the terror group terrorizing Mozambique wametokea Tanzania, wanafanya zoezi Tanzania na kukula kiapo kisha wanavuka mpaka ulio lindwa na "panga boys TPDF" bila kushikwa, na mnajidai mko na ujasusi wa hali ya juu ovyo kabisa!

Kuombea watu mabaya ni laana mbaya sana! Ndio maana ni ngumu sana Tanzania kuendelea licha ya rasilmali nyingi zile mnazo, wewe hauoni ni laana?., mtakuaje LDC with all you have?, the country with the biggest number of extreme poor people in EAC na SADC, in West Africa ni Nigeria peke yake iko juu yenu!., ni laana imewafunga., mnahitaji tambiko la msalaba wa golgotha ili mfunguliwe, la sivyo hakuna mahali mnaenda, CCM is a devilic conduit to condemn you to poverty. Ushirikina is your middle name
 
Eti unaomba Al shabaab wapate taarifa., roho ya kishetani hii unayo joto la jiwe, inasikitisha,
Do you know Tanzania ndio inazaa Al shabaab na terrorism groups ukanda huu?., do you know wale wana finance Al shabab na other Islamic terror groups ni baadhi ya warabu wengi wenye pesa pale Dar?, najua hili haulijui., the terror group terrorizing Mozambique wametokea Tanzania, wanafanya zoezi Tanzania na kukula kiapo kisha wanavuka mpaka ulio lindwa na "panga boys TPDF" bila kushikwa, na mnajidai mko na ujasusi wa hali ya juu ovyo kabisa! Kuombea watu mabaya ni laana mbaya sana! Ndio maana ni ngumu sana Tanzania kuendelea licha ya rasilmali nyingi zile mnazo, wewe hauoni ni laana?., mtakuaje LDC with all you have?., the country with the biggest number of extreme poor people in EAC na SADC, in West Africa ni Nigeria peke yake iko juu yenu!., ni laana imewafunga., mnahitaji tambiko la msalaba wa golgotha ili mfunguliwe, la sivyo hakuna mahali mnaenda, CCM is a devilic conduit to condemn you to poverty. Ushirikina is your middle name
So long as terrorists do not attack Tanzania, hiyo haina shida hata kama wanafanya mazoezi Tanzania na kupata pesa toka Tanzania.

Jambo moja lazima ufahamu, Kenya na Tanzania ni maadui sio marafiki, ndio sababu sikushangaa kuona wakenya wapo mstari wa mbele kufurahi pale habari zilipoenea kwamba watanzania wameanza kufa na kudondoka barabarani, Kenya mlikua inaongoza kwa kuisema vibaya Tanzania katika kipindi chote hiki cha Corona.

Ninyi wakenya ni wanyama hamna ubinadamu kabisa. Nitafurahi sana kama Alshabaab watatumia nafasi hii ya maambukizi ya Corona katika kambi za KDF na kufanya shambulizi la kushitukiza.
 
Fikra zako hizi., nani alisambaza taarifa ya watanzania kuanguka na kukufa mitaani?, it was Tanzanian media na watanzania katika mitandao, us we picked what they posted and used it to challenge your arguments eti Tanzania ni nchi ya kuigwa., bro you are sick headed., so blind to see the mess that Tanzania is. Ole wako, nakuhurumia tu, unasikitisha, umekosa hoja mwafaka humu, most of your posts hazina facts, ni porojo na kuponda Kenya, just spewing your ignorance. Unaumwa kweli, nakushauri nenda uombewe, mawaidha hayawezi kukusaidia, you are beyond human help.

Ukitaka kuisaidia Tanzania post positives about Tanzania kule kwenye jukwa la habari na hoja mnchanganyiko, najua wana ccm kule hamna sauti.,;hamuwezi danganya watanzania wenye akili timamu. Why are you crowding here?.,
So long as terrorists do not attack Tanzania, hiyo haina shida hata kama wanafanya mazoezi Tanzania na kupata pesa toka Tanzania.

Jambo moja lazima ufahamu, Kenya na Tanzania ni maadui sio marafiki, ndio sababu sikushangaa kuona wakenya wapo mstari wa mbele kufurahi pale habari zilipoenea kwamba watanzania wameanza kufa na kudondoka barabarani, Kenya mlikua inaongoza kwa kuisema vibaya Tanzania katika kipindi chote hiki cha Corona.

Ninyi Wakenya ni wanyama hamna ubinadamu kabisa. Nitafurahi sana kama Alshabaab watatumia nafasi hii ya maambukizi ya Corona katika kambi za KDF na kufanya shambulizi la kushitukiza.
 
Hivi kuna nchi gani ambayo wanajeshi wake wamesharipotiwa kuambukizwa Corona?, kwasababu kawaida jeshini kuna kuwa na sheria/nidhamu ya hali ya juu kutimiza masharti yote na magizo yanayotolewa ili kujikinga.

Ikitokea wanajeshi wengi wameambukizwa na kuanza kuugua kwa wingi na kulazwa hospital au kufa, hiyo nchi itakua katika hali gani kiusalama?
Jeshi la USA na Ufaransa.
 
Wanajeshi/askari watakaokufa kwa COVID19 watakuwa tayari hawako fit kuwepo jeshini. Sote tunajua ugonjwa huu unawapata watu wengi lakini kwa kiasi kikubwa unaua wazee na wenye magonjwa sugu kama moyo, figo, cancer na kisukari.

Kama mtu ana magonjwa haya, si dhani kwamba jeshini ni mahali pake. Si ajabu hata nchi nyingine nyingi kuna wanajeshi/askari wameambukizwa Corona lakini hawatangazi. Nashangaa kwa nini Kenya wameifanya hii kuwa big news! Au ni njia ya kuwahabarisha wazungu kwamba wanapima watu wengi (mass testing) ili waongezewe misaada/mikopo?
Tatizo pesa walizopewa na mabeberu, hivyo lazima watangaze tu
 
Ni vizuri kutangaza jeshi lako lina hiyo kesi? Huku upo vitani?

Niliwahi kuuliza humu "Kuna uwezekano Kenya inakuza sana swala la corona ili ijipatie misaada na mikopo?"
 
Fikra zako hizi., nani alisambaza taarifa ya watanzania kuanguka na kukufa mitaani?, it was Tanzanian media na watanzania katika mitandao, us we picked what they posted and used it to challenge your arguments eti Tanzania ni nchi ya kuigwa., bro you are sick headed., so blind to see the mess that Tanzania is. Ole wako, nakuhurumia tu, unasikitisha, umekosa hoja mwafaka humu, most of your posts hazina facts, ni porojo na kuponda Kenya, just spewing your ignorance. Unaumwa kweli, nakushauri nenda uombewe, mawaidha hayawezi kukusaidia, you are beyond human help.

Ukitaka kuisaidia Tanzania post positives about Tanzania kule kwenye jukwa la habari na hoja mnchanganyiko, najua wana ccm kule hamna sauti.,;hamuwezi danganya watanzania wenye akili timamu. Why are you crowding here?.,
Hata hizi habari ninazozipost pia ninazipata toka kwa wakenya, na Mimi pia Nina pick from there. tulia sindano iwaingie. Mkifanya ninyi mnadhani ni sawa, wakifanya wengine mnahisi sio sawa. Pumbavu kabisa ninyi.
 
Wewe ni mgonjwa, nakuelewa. Utapona tu as facts destroys your arguments and shenanigans humu. Keep on.

Kwani wanajeshi ni robot? Wao sio binadamu kama wewe? Pumbavu kabisa.
Huu ugonjwa hatutegemei kuwapa wanajeshi ambao muda wote wanapokea amri na kuitekeleza, waziri wenu kila siku anarudia kwamba sababu kubwa ya kuenea haraka ni kwasababu watu kutofuata maelekezo yanayotolewa na wizara ya Afya, ina maana KDF ni jeshi la hovyo kiasi cha kutosikiliza na kufuata maekekezo ya Serikali, hivi itakuaje kama Alshabaab watajua kwamba kambi zote za jeshi Kenya zipo chini ya Quarantine?. Hahahaha, Hahahaha
 
Hivi kuna nchi gani ambayo wanajeshi wake wamesharipotiwa kuambukizwa Corona?, kwasababu kawaida jeshini kuna kuwa na sheria/nidhamu ya hali ya juu kutimiza masharti yote na magizo yanayotolewa ili kujikinga.

Ikitokea wanajeshi wengi wameambukizwa na kuanza kuugua kwa wingi na kulazwa hospital au kufa, hiyo nchi itakua katika hali gani kiusalama?
Huwa wanasema data zinaongezwa ili kupata misaada, kwenye covid-19 wanatuaminisha kwamba vyombo vyao vya habari vinaongeza idadi ili serikali ipate misaada from international organizations such as WHO, pale Kibera huwa wanasema idadi ya watu ni chache ila inakuzwa ilimradi wananchi wanufaike na pesa za WB na taasisi zingine za kimataifa, ss huwa najiuliza hii ni akili au tope, yn uichafue nchi yako kwasababu ya pesa? Wakenya ni the most mad people in this world.
 
Ni vizuri kutangaza jeshi lako lina hiyo kesi? Huku upo vitani?

Niliwahi kuuliza humu "Kuna uwezekano Kenya inakuza sana swala la corona ili ijipatie misaada na mikopo?"
Mkuu hakuna kitu kama hicho, hzo data ni za kweli kabisa
Huwa wanasema data zinaongezwa ili kupata misaada, kwenye covid-19 wanatuaminisha kwamba vyombo vyao vya habari vinaongeza idadi ili serikali ipate misaada from international organizations such as WHO, pale Kibera huwa wanasema idadi ya watu ni chache ila inakuzwa ilimradi wananchi wanufaike na pesa za WB na taasisi zingine za kimataifa, ss huwa najiuliza hii ni akili au tope, yn uichafue nchi yako kwasababu ya pesa? Wakenya ni the most mad people in this world.
 
Evidence please
Kufikia sasa hivi wanajeshi 5,000 wameambukizwa virusi vya Corona kule US, hata Israel na Ufaransa pia kuna wanajeshi wengi ambao wamepatikana na virusi vya COVID-19. Jisajili kwenye course ya kujifunza kiingereza, kifaransa au Espanol hata kama ni online. Combination ya kiswahili na media uchwara za Tz inakuacha gizani ikifikia kwenye masuala ya habari muhimu na matukio ya kimataifa. More than 5,000 troops positive for coronavirus as military expands testing
 
Wewe ni mgonjwa, nakuelewa. Utapona tu as facts destroys your arguments and shenanigans humu. Keep on.
Huu upumbavu wenu lazima muache, onyesha "stream media" yoyote ya Tanzania ambayo imetangaza data za Kenya ambazo sio "official", wanezipata toka kwa upinzani.
 
Kufikia sasa hivi wanajeshi 5,000 wameambukizwa virusi vya Corona kule US, hata Israel na Ufaransa pia kuna wanajeshi wengi ambao wamepatikana na virusi vya COVID-19. Jisajili kwenye course ya kujifunza kiingereza, kifaransa au Espanol hata kama ni online. Combination ya kiswahili na media uchwara za Tz inakuacha gizani ikifikia ni kwenye masuala ya habari na matukio ya kimataifa. More than 5,000 troops positive for coronavirus as military expands testing
joto la jiwe natumai swali lako limepata jibu
 
Back
Top Bottom