mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,777
- 6,454
Kiingereza noma utapata wapi taarifa Kama hizo Kama the only people you can communicate with outside Tanzania ni Wakenya?Sijawahi kusikia, unaweza kunipa link au ushahidi katika hili?
1.Huwezi toboa Nairaland - hapa labda uwe mtu wa kufinya like button tu. 😂😂
2. Hutoboi Skyscrapercity unless Kuna Wakenya na Watanzania wakutafsirie kwa kiswahili.
3. Huwezi toboa Somalispot.com labda ubonyeze Like button.
4. Buganda Forums pale ndio watakuwa wamekuchanganya kabisa kwa lugha ya malkia na zao za asili.
Piga kelele hapa, it's the only place you can be relevant otherwise hata pande ya jukwaa la siasa we ni boya wa buku Saba.