Corona ain’t sexy no more

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,008
112,668
I knew it.

Well, maybe I shouldn’t say I knew it. But I had a feeling.

A feeling that this coronavirus crap wasn’t as bad as it was advertised.

Even worse, the ensuing lockdown and the whole social distancing nonsense was all bullshit.

Hardly anyone is talking about it now.

It ain’t sexy no more. It has been supplanted by the killing of George Floyd.

My bullshit detector has always been on point. I can smell, sense, see, and hear it from miles and miles away.

So these lockdowns, the wearing of masks, gloves, overuse of hand sanitizers and whatnot, were all bullshit.

Economies have been ruined. So have people’s livelihoods.

Enter the killing of George Floyd.

Yes, that was horrific. I think the whole world agrees.

I have seen demonstrations all over the world. In every continent. Which is more proof-positive that the US is the world’s only super power.

US ndio kitovu cha dunia. Mpende msipende.

Na kifo cha Bw. Floyd kitazidi kuifanya US kuwa taifa bora kwa sababu US ina kawaida ya kujikisoa na kujirekebisha.

Kama ni kweli corona ni hatari kama walivyotuaminisha hao watu waliotuambia tujifungie majumbani mwetu kwa zaidi ya miezi miwili, basi tutarajie maambukizi mengi sana na vifo vingi sana katika siku, wiki, na miezi ijayo.

Maana hao watu wanaoandamana kwenye hizo nchi mbalimbali hakuna cha social distancing wala nini.

Watu wanakumbatiana. Wanashikana mikono. Wanatembea karibu karibu.

Wanafanya yale yote tuliyoaminishwa kwamba ndo yanaeneza corona.

Maambukizi yasipoongezeka, vifo visipoongezeka katika siku zijazo, basi dunia nzima itakuwa ilichezewa akili ila watu wachache, kama Rais Magufuli na Rais Bolsonaro, wakastukia gemu.

Naamini kabisa corona si hatari kama tulivyoaminishwa. Na ndo maana kwenye hili, nilisimama pamoja na Rais Magufuli .
 
Hivi hapo Marekani ambao hawaandamani bado wanajifungia ndani?
 
Hivi hapo marekani ambao hawaandamani bado wanajifungia ndani?

Ah wapi. Yaani utadhani hakukuwa hata na hiyo lockdown or whatever other nonsense like that.

Nimeona hadi huko Nigeria eti watu waliandamana kupinga mauaji ya George Floyd.

Natumai pia huwa wanaandamana kupinga matendo ya Boko Haram.

Sikujua watu wanajali sana yatokeayo Marekani 😉
 
Ah wapi. Yaani utadhani hakukuwa hata na hiyo lockdown or whatever other nonsense like that.

Nimeona hadi huko Nigeria eti watu waliandamana kupinga mauaji ya George Floyd.

Natumai pia huwa wanaandamana kupinga matendo ya Boko Haram.

Sikujua watu wanajali sana yatokeayo Marekani
Watu wameamua kuandamana ili watoke nje baada ya ushenzi wa lockdown
 
Corona virus has made death a small affair, as Floyd case made racism pernitent.
 
Jana saa saba usiku nikapita Mwembeyanga kuna ile bar hua inapiga live. Nilikuta rhumba la haja linaendelea na watu wameshona balaa
 
Pamoja na kwamba corona ilikuwa threat but ilikuzwa sana kupita kiasi.

But Africa haikuwa threat kivile

Ilikuzwa mno aisee.

Ila pia, kulikuwa na agenda za kisiasa, hususan kwa Marekani.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom