Corolla limited inauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Corolla limited inauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Bob Nash, Jun 13, 2010.

 1. B

  Bob Nash Member

  #1
  Jun 13, 2010
  Joined: Aug 21, 2009
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Recondition frm japan, imeingizwa nchini 2001, iko katika hali nzuri kabisa, inatembea, ac, redio vyote vinafanya kazi, bei milioni 3 hamna maelewano, sababu ya kuuza nataka nikomboe gari nyingine niliyoagiza, madalali hawatakiwi, 0654 633109
   
 2. Visenti

  Visenti JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 1,031
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 133
  weka picha, onyesha ndani na nje, weka specs zote.
   
 3. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mkuu Tittle yako haivutii watu kufuungua topic, Unapoandika Corolla Limited inauzwa watu wanaweza fikiri kwamba kuna Kampuni inauzwa

  Anyway kila la kheri
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  ipo mkoa au nchi gani?
   
 5. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  :A S-confused1:
   
 6. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2010
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  i hope iko tz maana naona mawasiliano ni 0654....
   
 7. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #7
  Jun 16, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  weka picha
   
 8. HarusiYetu

  HarusiYetu JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2010
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 459
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ni kweli kuwa tangazo la gari au kitu cha kuuza ni vyema piacha ziwepo.
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,871
  Likes Received: 23,498
  Trophy Points: 280
  Nina mashaka na hiyo sababu na bei ya gari unalouza. Hamna sababu nyingine yoyote? Manake 2001 mpaka 2010 kunawezekana kukawa na sababu nyingine hapo......
   
 10. b

  blackpepper JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 382
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Unaposema bei millioni tatu hizo ni fedha za Nchi gani???unaposema hakuna maelewano how can u make business pasipo maelewano na makubaliano??
   
 11. J

  Jafar JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Duuuuuuuuuuu hhhhhhhh kama uliingiza 2001 mpaka leo 2010 ukitoa hapo yaaani ni miaka kenda kamili. Kwa barabara za bongo na matumizi ya wamatumbi (poor maintenance culture), nakwambia hako kagari TZS 3000K ni nyingi sana. Labda nusu yake. Lakini umesema maongezi hakuna, lakini najua hiyo gari ikifika bandarini na zile storage charges na estimates za TRA nakwambia utakubali tu tuongee. subiri tu.
   
 12. Raimundo

  Raimundo JF-Expert Member

  #12
  Jun 23, 2010
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 13,552
  Likes Received: 10,940
  Trophy Points: 280
  Uwezekano ni mkubwa kwamba ilo gari halitamaniki kuona picha; ndio maana jamaa hajaweka picha na unaambiwa bei ni fixed; aah! hiyo haiwezekani. Bora angeanza na M3.5 na aseme negotiations zipo labda mtu ungeshuka mpaka M3.0. Bongo biashara bila maelewano hakuna.
   
Loading...