Coreldraw for microsoft surface GO

teac kapex

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
470
136
Habari za leo wadau, naomba msaada wa software inayoendana na pc yangu, ninatumia Microsoft surface go yenye RAM ya gb 8 na proccesor ya Intel(R) Pentium(R) CPU 4415Y @ 1.60GHz 1.61 GHz, nahitaji Coreldraw yenye kuweza kuendana na mashine yangu au software nyingine nzuri itakayokubali kufanya kazi na mashine yangu. nimedownload coreldraw ambayo nilipojaribu kui install imeniletea ujumbe huu hapa chini kwenye screen shot. na hapo sijui kama labda pc yangu imekosa vigezo? msaada wenu tafadhali.

Screenshot (34).png
 
Kufunguaje rafiki? Yaani nikijaribu kuinstall hicho ndio kinachotokea hebu soma vizuri hiyo picha kuna kitu naona kama kina miss.
 
kinachomiss huna privilleges, hivyo unatakiwa kurun kama admin,

right click unachofungua chagua run as administrator. kama huna mouse nafkiri two finger touch ndio right click.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom