Copy writers nawahitaji kwa 120,000 kwa mwezi

120K jombaa mbona haitoshi hata nauli....!! Ongeza ongeza uwe na huruma...!! vijana wapo desperate tusiwavunje moyo
 
Kama nimeelewa amesema ni part time job,na unafanyia kwako,cha muhimu ni kuwa na access ya internet na laptop.
 
SIJAELEWA HII CHINI (kuandika kwa lugha yako mwenyewe)

“Kazi ninayotaka kufanyiwa ni kwamba ninakupa article au llink unaiandika upya kwa kutwist maneno au kwa lugha yako yenyewe. (Siyo kwamba unaisummerize hapana).”

NA HAPA ( Una run vipi)

“Then uta irun katika platforms kadhaa nikauelekeza kabla ya kuinitumia.”

NA HAPA UNGEANZA KUTOA ADVANCE KAZI YA KU-TYPE MWEZI MZIMA UKIWA UJAPEWA PESA

“Malipo ni kwa mwezi na yanaweza kuongezeka mwezi unaofuata kama utaperform vizuri.”

.............

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana , muulizeni mikataba kisheria iko vipi, ataaminiwaje kwamba mwisho wa mwezi kuna malipo, kabla ya kuanza kazi yoyote iwe part time au nini lazima mikataba inayoeleweka iwepo mezani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SIJAELEWA HII CHINI (kuandika kwa lugha yako mwenyewe)

“Kazi ninayotaka kufanyiwa ni kwamba ninakupa article au llink unaiandika upya kwa kutwist maneno au kwa lugha yako yenyewe. (Siyo kwamba unaisummerize hapana).”

NA HAPA ( Una run vipi)

“Then uta irun katika platforms kadhaa nikauelekeza kabla ya kuinitumia.”

NA HAPA UNGEANZA KUTOA ADVANCE KAZI YA KU-TYPE MWEZI MZIMA UKIWA UJAPEWA PESA

“Malipo ni kwa mwezi na yanaweza kuongezeka mwezi unaofuata kama utaperform vizuri.”

.............

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanafanya kazi stationary wana type na kufanya kazi zote kwa laki mkuu. Hii ni mwanzo watu niliowachagua kufanya nao kazi nitawaongeza kutokana na performance yao huenda baada ya muda ikafka hata laki tatu kwa mwezi it is a matter of time na mambo yaende sawa.
 
Embu njoo inbox maana nimeshaelewa hapa sio kuduplicate wala kufanya plagiarism, unacheza na synonims kwa sana, njoo pm tufanye kazi 120 si haba!
 
SIJAELEWA HII CHINI (kuandika kwa lugha yako mwenyewe)

“Kazi ninayotaka kufanyiwa ni kwamba ninakupa article au llink unaiandika upya kwa kutwist maneno au kwa lugha yako yenyewe. (Siyo kwamba unaisummerize hapana).”

NA HAPA ( Una run vipi)

“Then uta irun katika platforms kadhaa nikauelekeza kabla ya kuinitumia.”

NA HAPA UNGEANZA KUTOA ADVANCE KAZI YA KU-TYPE MWEZI MZIMA UKIWA UJAPEWA PESA

“Malipo ni kwa mwezi na yanaweza kuongezeka mwezi unaofuata kama utaperform vizuri.”

.............

Sent using Jamii Forums mobile app
Naweza hiyo nipo mkoa wa kigoma nsmba yangu ni 0688065853
 
Back
Top Bottom