Hivi wajameni mnalionaje hili la tukio kutokea basi blog zote zinacopy picha na habari nzima kutoka kwa aliyewahi kupata picha?
Mi binafsi inanichefua sana, kwa nini kila mmoja asijitafutie?
Hizi copy n paste zimezidi wabongo tuache uvivu kama umeamua kuwa blogger basi tumikia ulichoamua kukifanya... kama huwezi funga blog yako.. kwani lazima?
Hovyo kabisa!