crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,411
- 3,375
Baba lao (Diamond)-kushoto kulia (harmonize)
Mdogo mdogo (Diamond)-mpaka kesho (harmonize)
Wezele (rich mavoko)-on the low (burnaboy) full video
Niwahi (rich mavoko)-je utanipenda (Diamond) kwenye onesho la fashion
Na nusu (Nandy)-tip toe (jason darulo)
Scene ya wacheza kareti.
Alele (mbosso)-jericko (simi)scene ya mwisho kwenye mapazia meupe
Tetema (Diamond)-acha lizame (harmonize ) cheki Diamond na harmonize walivyo vaa
Acha lizame ( Nandy)-paranawe (harmonize) beat
Hizo ni chache kati ya video nyingi ambazo video directors wametumia idea za watu wengine. Ni kweli Diamond hawezi kulipa director wengine kama adam juma, hanscana,joowzey,n.k ambao hawana tuhuma za kukopi?
Jibu ni hapana. Nani yupo tayari ku search video za Brazil ili kujua hanscana kakopi wapi,hakuna. Hapo ndipo utajua kwamba Diamond ni mti wenye matunda.
Kama hanscana kakopi video direct ya hapa bongo mpaka kesho na kushoto kulia na hakuna uzi uliofunguliwa kulalamika kama ambavyo anafanyiwa kijana Diamond.
Je, watatafuta video iliyokopiwa toka Brazil?
Hapo ndipo mtakapo kuja kuambiwa na wataalamu kuwa Kenny ndio director bora zaidi halafu mkabaki mnashangaaa. Video direting ina husu vitu vingi ndani ya video kama colour changes, colour grading, body motion,n.k lakini watu mkiletewa kapicha tu mna conclude kuwa jamaa kilaza.
Unacho paswa kujua ni kwamba kutumia idea ya mtu mwingine sio kosa ila ni lazima ufuate utaratibu kitu ambacho wcb wanafanya. Ndio maana hakuna hata msanii mmoja aliyewahi kusema kaibiwa idea na Diamond au WCB zaidi ya watu ambao most of them ni haters wake na ndio point waliyo bakiwa nayo.
Hata hivyo jamaa wanazidi kusonga mbele licha ya kupigiwa kelele kutoka baila, sikomi, hadi sasa.