Copa Libertadores Final: Boca Juniors and River Plate - LIVE

Screenshot_2018-12-10-00-50-45.jpg
 
Riverplate tumedhulumiwa wangekuja home momento wangekula tatu bila swafi kabisa
 
Kile kipigo cha goli tatu Boca wamekipata Bahati nzuri kwao imekua ET wangecheza momento wangepata mapema kabisa
 
Full time river plate 3 Boca Juniors 1.. naona kipa alienda kushambulia watu wamepiga msumali wa mwisho kwenye jeneza..
 
Game is over. River plate ya matajiri 3-1 boca junior ya wafanyakazi.
Kwenye muda wa ziada wa dk 30 za nyongeza boca junior walizidiwa sana ndiyo maana wamepigwa mbili za chap chap . Goli la pili la river plate ni zuri sana. River ilikuwa na vijana wengi wakati boca ilikuwa na walioenda kiumri wengi kadri muda ulivyoyoyoma walizidi kuchoka
 
Full time river plate 3 Boca Juniors 1.. naona kipa alienda kushambulia watu wamepiga msumali wa mwisho kwenye jeneza..

Hahahaa River wamestahili ushindi ingawa nilikuwa upande wa Boca...jamaa wamepiga mpira mwingi sanaaa...nilitamani mpira usiishe 😀
 
Game is over. River plate ya matajiri 3-1 boca junior ya wafanyakazi.
Kwenye muda wa ziada wa dk 30 za nyongeza boca junior walizidiwa sana ndiyo maana wamepigwa mbili za chap chap . Goli la pili la river plate ni zuri sana. River ilikuwa na vijana wengi wakati boca ilikuwa na walioenda kiumri wengi kadri muda ulivyoyoyoma walizidi kuchoka

Goli zuri sana...yani mechi ilikuwa kali balaa
 
Kwenye hii mechi nimeona faulo ikipigwa ndani ya penalty box! hii imekaaje wakuu?

Kuna faulo ya golikipa kurudishiwa na teammate akadaka, faulo huwa inapigwa ndani humo humo.

Rule no 12 section 2: Laws of A Game extract:-

"The penalty for the offence is an indirect free kick. This is awarded from the position where the handling occurred, unless it is within the 6-yard goal area, in which the kick is taken from the point on the 6-yard line closest to the point of the offence."

Hicho ni kipande cha adhabu itolewayo kama golikipa akidaka pasi kutoka kwa teammate au throwin by a teammate.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom