Cool hp pro for sale

serio

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
7,306
4,681
4GB RAM
360 HARD DRIVE DISK
3GB Hertz PROCESSOR SPEED
14inch LED MONITOR
BLUETOOTH AND WI-FI
FINGER PRINT AND EYE CONTACT SECURITY
4 USB PORTS
PRICE: 950,000/-

Free modem; airtel or zantel
there is room for negotiation.
pm me if interested..
 
4GB RAM
360 HARD DRIVE DISK
3GB Hertz PROCESSOR SPEED
14inch LED MONITOR
BLUETOOTH AND WI-FI
FINGER PRINT AND EYE CONTACT SECURITY
4 USB PORTS
PRICE: 950,000/-

Free modem; airtel or zantel
there is room for negotiation.
pm me if interested..

Cjui uelewa wangu mdogo kwenye mambo haya!
 
hp vimeo vya betri kinyamaaa...after one year or two betry inaanza kusumbua.. Shusha hiyo bei faya 800 au 700 make hp mi nilikuwa nayo hp550 after year of grentee..betry imeaca kupokea moto..
 
hp vimeo vya betri kinyamaaa...after one year or two betry inaanza kusumbua.. Shusha hiyo bei faya 800 au 700 make hp mi nilikuwa nayo hp550 after year of grentee..betry imeaca kupokea moto..
Nna betri ya HP 550 ambayo sina kazi nayo, kama bado hujatupa hiyo laptop yako nijulishe ntakupatia.
 
hp vimeo vya betri kinyamaaa...after one year or two betry inaanza kusumbua.. Shusha hiyo bei faya 800 au 700 make hp mi nilikuwa nayo hp550 after year of grentee..betry imeaca kupokea moto..
Nataka sitaki kwisha kwa betri kunategemea na matumizi na HP ni brand za ukweli,mi nimetumia kama aka nne hivi na always HP ni trusted brand kwangu,sasa kama unaona zina matatizo mbona tena wataka upunguziwe bei ,wewe omba kupunguziwa bei tu na sio kuleta tantalila nyingi,biashara ni hiari unaweza kupata hizo brand hata kwa laki saba hapa town(dar) na pia hiyo hiyo ukapata kwa milioni moja laki mbili,ukitaka tembelea maduka yanayouza laptops town halafu uje Mlimani City utona chapa hiyo hiyo bei inatofatiana zaidi ya laki nne hii ndio bongo kaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom