Controversial Masaki plot declared open space

Luteni

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
2,274
301
THE Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Development has declared the Masaki 1832 disputed plot an open space, it has been learnt. The Ministry will tomorrow hold a meeting with the plot’s current developer, Ms Engineered Systems Solutions Ltd, for final discussion.

The dispute between residents around the area and the developer arose after the former claimed the latter was not supposed to develop the plot because it was an open space, according to original drawings from the Ministry.

Led by the Masaki Local government Chairperson, Ms Janet Mbene, residents vowed to stop the developer at any cost and suspected the whole deal smelt of corruption.

“After studying various evidences on the matter, the Ministry has now reached the decision to declare the area open space. We will hold a formal meting with stakeholders to inform them on the decision,” said Mrs Ndenyi Ulomi, the Ministry’s spokesperson.

For sometime late last year, the issue was under investigation by the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) but according to Mrs Ulomi, the file was returned from the anti-corruption body without any recommendation.

“We received a blank file from PCCB, may be because they are still gathering some evidences, but we are soon closing this chapter and we are compiling our final report,” she said.

Apart from Ministry officials and developer, the meeting will also involve officials from the Kinondoni Municipality. Mrs Ulomi, who is now acting as Commissioner for Lands, admitted, however, that the whole issue was a result of ‘abuse of office ‘ by some staff of the Ministry responsible for planning, surveying and allocation of plots.

Meanwhile, the National Environmental Management Council (NEMC) will hold a meeting with stakeholders on development of beach areas this month. It has therefore temporarily stopped any current beach development in the country until enough education campaign is conducted.

The NEMC Director of Environmental Compliance and Enforcement, Dr Robert Ntakamulemga, said that the Council had discovered that people were not aware of the legal requirements before undertaking any development at beach areas.

He was referring to a recent move when private developers intended to develop beach areas along Masaki in the City without observing Social and Environmental Impact Assessment.

Recently, the Council issued a stop order to develop the beach area between Sea Cliff and Golden Tulip Hotels which was apportioned to six local developers.

The developers initially said they were cleared to continue with the project by the Kinondoni Municipal officials after obtaining a go ahead from the Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Development.

The firms are Sea Breeze and Drive In Cinema Ltd, Commodity Traders Ltd, Wellworth Hotel and Lodges, Professional Cleaners, Red & Black Enterprises and Centrally Cinemax.
 
Pressure pressure pressure..

Maybe there still good people out there..who need to be pushed to deliver.
 
Halafu watu wapo wanasema JF watu mnapoteza muda na uharakati wa kompyuta! Red Cross imechangiwa zaidi ya milioni 120 kwa harakati hizi hizi.. mnaulizwa mmeifanyia nini nchi yenu?
 
Mwanakijiji if you have time try to dig in all land grab issues. You will end up with a name which is very familiar. Kuna wahindi wengi mikocheni wameporwa viwanja na kuna wananchi wengi wameporwa viwanja hasa vya maeneo ya wazo na hakuna la maana lilolofanyika.

Naona sasa limeanza kuwekwa jamvini kuna siku watu watamwaga kuku kwenye mchele.
Everytime you try to zoom in or moveyour camera a bit left, that name will reappear.
 
hili la ardhi naliogopa sana..lina potential ya kuumiza watu.
 
hili la ardhi naliogopa sana..lina potential ya kuumiza watu.
Mwanaharakati haogopi kufa ikiwa ni kwa maslahi ya wengi (Watanzania maskini). Wapo wanaharakati wengi wamekufa kwa kutetea maslahi ya nchi zao leo hii tunaona michango na mawazo yao yakienziwa na kufanyiwa kazi.
Usiogope kufa MMK kwa maslahi ya nchi yako
 
gademu.. mmeshanitoa kafara kabisa.. na hao wanaharakati wengine wako wapi..!!? mtageuka hapa na kusema "tulimwambia aache kimbelembele"!
 
The firms are Sea Breeze and Drive In Cinema Ltd, Commodity Traders Ltd, Wellworth Hotel and Lodges, Professional Cleaners, Red & Black Enterprises and Centrally Cinemax.

....and whats more, some or all of these kampunis are either fronts or what may be termed as MERE PROXIES for some big shots. In the list are ministers and other officials of the present regime. Chama nao wamo!!

Hivi hawa jamaa hawana soni??? Wao watafune tu, na ndugu zao na nyumba ndogo zao tu. Wajameni! Kutafuna nchi tu!
 
gademu.. mmeshanitoa kafara kabisa.. na hao wanaharakati wengine wako wapi..!!? mtageuka hapa na kusema "tulimwambia aache kimbelembele"!

nimetafuta wapi nikugongee thx nimekosa.
Bravooo sana mkuu.
yatupasa sote tuchimbe na siyo mtu mmoja.
 
Hao wakuu walishapewa Hati au bado utaratibu ulikuwa unaendelea?

Hili suala linafanywa kisiasa, sijasoma popote ambapo sheria zinazungumzwa. Hofu yangu ni kuwa wanaojiita wawekezaji wakienda Mahakamani tunaweza kujikuta tunawalipa mabilioni.
 
who has done it? I mean who alocated those plots to wawekezaji? Kwa nini hawajafikishwa kwa pilato? Kwa nini 'wawekezaji' hao wasiwekwe kwenye kundi la 'conspirators'?
 
Kuna post moja hapa jukwaani ilikua inakejeli pingamizi la uwekezaji holela kwenye hayo maeneo. Analo la kusema sasa?
 
Hatimaye sasa watu wameanza kujifunza kutenda vile inavyotakiwa kutendwa.
 
gademu.. mmeshanitoa kafara kabisa.. na hao wanaharakati wengine wako wapi..!!? mtageuka hapa na kusema "tulimwambia aache kimbelembele"!
Kama katika wanaharakati wote, jina lako ni miongoni mwa majina machache yanayopewa heshima, you have nothing to lose. Historia inayanakiri yote yanayoendelea na ipo siku kwa kazi nzuri mtu anayoifanya, historia hiyo hiyo inaweza kumuweka miongoni mwa watoto wateule na wenye heshima ya juu katika nchi yetu. Hakuna kazi nzuri itakayopotea bure katika hii dunia.
 
Wana JF,lets start a section for listing hawa scammers,wezi wa nchi.ili tuwe na naming and shaming list,hii itasaidia kudhibiti na kupunguza ufisadi.
mfano,mtu mmoja ana kampuni 10,yeye pia ni kiongozi wa serikali or mbunge,hivyo basi wana jf waliopo brella walete data za watu kama hawa,
kwani this is supposed to be a public infor,ila kwa ugumu wa kupatikana hizi imfo ndio maana utakuta viongozi hawa ogopi kufanya mambo mbofumbofu kwa jamii wanazo ziongoza.
 
Halafu watu wapo wanasema JF watu mnapoteza muda na uharakati wa kompyuta!

Basi wanajamvi na "harakati za komputa" wazidi kuwa na nguvu, na wapongezwe, kama ndivyo.

Lakini wakati tunapima ufanisi na tija ya mchango wa JF, ingependeza tujue wana JF walifanya nini katika kuzuia majengo haya yasiendelee. Katika maandamano ya wakazi wa eneo hilo kulikuwa na bango la JF? Au katika pingamizi rasmi lililoletwa na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wanaharakati wa JF wametajwa kama wadau? Au wanaharakati wa JF ndio waliowashtua watu wa makazi hayo kwamba kuna ujenzi unaendelea kinyemela amkeni? Au JF walienda wizara ya Ardhi kushinikia ujenzi usiendelee, ni vipi yani?

Tutaidie, wewe umejuaje wana JF ndio wamesababisha kusimamisha ujenzi huu?

Led by the Masaki Local government Chairperson, Ms Janet Mbene, residents vowed to stop the developer at any cost and suspected the whole deal smelt of corruption.
 
Back
Top Bottom