Continous walioomba mkopo mwaka 2020/21 wanaweza kupangiwa?

daltony temu

Member
Jun 7, 2019
10
4
Naomba kufahamu wanachuo wanaoendelea na masomo, wengi wakiwa mwaka wa pili walioomba mkopo mwaka huu(2020/2021) wamaweza kupata?

Na huwa batch ya kwanza haiwahusu kabisa! Au inakuwaje! Wakuu naombeni msaada hapo kwa aliye na uzoefu!
 
Wasomi wenzangu naomba kuuliza kwamba kama mwanafunzi alipata asilimia 20 ya mkopo na hakufanikiwa kuappeal kwa kipindi kile cha mwaka Jana je mwaka huu dirisha la Appel likifunguliwa ataruhusiwa kuappeal..????

Naomba kuwasilisha...!!
 
Naomba kufahamu wanachuo wanaoendelea na masomo, wengi wakiwa mwaka wa pili walioomba mkopo mwaka huu(2020/2021) wamaweza kupata?

Na huwa batch ya kwanza haiwahusu kabisa! Au inakuwaje! Wakuu naombeni msaada hapo kwa aliye na uzoefu!
Mwaka huu kwa continous hawaangaliw iyo tokea mwaka jana mbna

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Daah, mkopo nimajanga my first bon amekosa, ngojaniombe Mungu tena kwenye Kuapil mana my son hanaraha kabisa anashinda ndanitu daah.
 
Daah, mkopo nimajanga my first bon amekosa, ngojaniombe Mungu tena kwenye Kuapil mana my son hanaraha kabisa anashinda ndanitu daah.
Mkuu unajuaje kama amekosa au amepata maana kuna dogo yeye kwenye allocation status ameandikiwa "the analysis of your application is yet to be finalized.You are advised to visit your SIPA when subsequent loan batches are released"
 
Ukiandikiwa "The analysis of your application is yet to be finalized.
You are advised to visit your SIPA when subsequent loan batches are released.." Ndo inamaanisha nini wakuu?
 
Back
Top Bottom