Contacts Za Zuku TV na Abu Dhabi sports

Bitabo

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
1,900
687
Wadau naombeni contacts Za Zuku TV na Abu Dhabi sports. Nataka kuhama DSTV maana huwa nailipia ili niangalie soccer tu ila gharama ni balaa
 
Mkuu kiukeli Zuku hawawezi kuwa mbadala wa Dstv hata siku moja. Watu wengi tunatumia DSTV kwa ajili ya live sports esp. football, sasa channel pekee ya football waliyonayo Zuku ni Setanta Africa ambayo hata Star Time ipo. So, kama unataka Zuku kwa ajili ya sports, utaibiwa.

Kuna alternative mbili unaweza tumia.
1. Nunua receiver ambayo ni MPEG4 compatible, kisha uwatafute mafundi wa ukweli wakufanyie installation ya dish lako vizuri, utaweza kupata channels za maana ambapo utaweza kufurahia mwenyewe.
2. Kuna vishoka wanaweza kuchakachua hizo decoders za Dstv ambapo unaweza kutumia bila usumbufu. Jinsi ya kuwapata hao vishoka, tembelea thread hii.
 
Zuku wanapatikana nchi nzima kwa njia ya satellite ya NSS 12 inayopatikana degree 57 mashariki inakopatikana sasahivi KBC1 ya Kenya Yeyote anayeipata KBC1 katika ungo wake we nunua king'amuzi cha ZUKU utawapata
 
Mkuu kiukeli Zuku hawawezi kuwa mbadala wa Dstv hata siku moja. Watu wengi tunatumia DSTV kwa ajili ya live sports esp. football, sasa channel pekee ya football waliyonayo Zuku ni Setanta Africa ambayo hata Star Time ipo. So, kama unataka Zuku kwa ajili ya sports, utaibiwa.

Kuna alternative mbili unaweza tumia.
1. Nunua receiver ambayo ni MPEG4 compatible, kisha uwatafute mafundi wa ukweli wakufanyie installation ya dish lako vizuri, utaweza kupata channels za maana ambapo utaweza kufurahia mwenyewe.
2. Kuna vishoka wanaweza kuchakachua hizo decoders za Dstv ambapo unaweza kutumia bila usumbufu. Jinsi ya kuwapata hao vishoka, tembelea thread hii.

Mkuu, nadhani huwajuhi ZUKU TV vizuri wanakuja kuwazimisha DSTV, Zuku wamezindua juzi unataka waonyeshe ligi ya Uingereza na Italy? Hunajua kama Zuku wameishasign kuonyesha ligi ya Uingereza na Italy msimu ujao?
 
mkuu ritz hadi msimu huu uishe ni leo kama uingereza ndio kwanza wako mechi ya 3 mzunguko wa pili hao itali ndio wako mechi ya 18 hata mzunguko wakwanza hujaisha mkuu kazi ipo ngoja tuwaone..
 
Mkuu, nadhani huwajuhi ZUKU TV vizuri wanakuja kuwazimisha DSTV, Zuku wamezindua juzi unataka waonyeshe ligi ya Uingereza na Italy? Hunajua kama Zuku wameishasign kuonyesha ligi ya Uingereza na Italy msimu ujao?
msimu ujao upi wewe kauzu
 
Back
Top Bottom