Contacts za chuo cha ustawi wa jamii dsm

Mwanyasi

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
7,955
7,101
Wakuu naomba msaada wa contacts za chuo cha ustawi wa jamii hasa namaba za simu au website.
Nipo mbali nataka kuwasiliana nao tafadhali, nimejaribu google bila mafanikio.
 
Mkuu hicho chuo sijui kinaelekea wapi maana wameshindwa hata kulipia website! Baada ya kutimua wahadhiri nahisi kama ndo kinakufa hivyo. Nina shida kama yako na niliwahi kuweka bandiko hapa lakini sikufanikiwa kupata mawasiliano yao. Labda kunamtu anajua atatuwekea hapa
 
Misuguano mwanzo wa maendeleo (social workers never give up)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom