Contact za bosi wa TIGO au ZANTEL, au ZAIN

Hujui matumizi ya internet..kwa kukusaidia kidogo nenda kwenye website yao kuna contact info....acha kubweteka!
 
Last edited by a moderator:
wewe unazo?

Shem Yo Yo JF inachekesha sana, nimeona kwenye post moja wanakupa umaarufu wa kutoa pumba hapa kwenye Forum, nimecheka sana umechanganywa na wazee wengine duu...Kazi kweli kweli!
 
Shem Yo Yo JF inachekesha sana, nimeona kwenye post moja wanakupa umaarufu wa kutoa pumba hapa kwenye Forum, nimecheka sana umechanganywa na wazee wengine duu...Kazi kweli kweli!
tehe tehe shem si unajua eti anakomwa nyani giladi.....
 
nashukuru nimepata zile contacts. Hizo za HITS, DOVETEL na TTCL nazo nikitumiwa nitashukuru za Vodacoma wakae nazo wenyewe!
 
Back
Top Bottom