Construction of Dar flyovers suspended indefinitely

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,789
288,039
Construction of Dar flyovers suspended indefinitely

By Devota Mwachang`a

19th December 2014

headline_bullet.jpg
Lack of materials, financial constraints major hurdles

The construction of the much awaited flyovers in the country's business capital of Dar es Salaam could take longer to see the light of day as implementation of the project has been suspended indefinitely due to financial constraints and delayed procurement procedures, the Guardian has learnt.

The flyovers at some of the city's strategic junctions including Tazara, Ubungo, Chang'ombe, Magomeni and Fire-Kamata were supposed to ease congestion in the country's busiest city.

Speaking to The Guardian in a telephone interview, minister for Works, Eng Gerson Lwenge said the construction of the flyover at Tazara which is funded by the Japan International Cooperation Agency (JICA) awaits completion of procurement procedures for construction materials.

The minister explained that earlier the plan was to start construction by January next year but after consultations with JICA; the two parties decided (the government and the Japanese Agency) decided to postpone the commencement of the project until all construction materials are available.

"We spoke with our supporters (JICA) and they confirmed to us that they are not done with procurement procedures. So it is not easy to start implementing the project in January," said the deputy minister, calling upon the public to be patient, saying they will be informed on the progress once everything is ready.

JICA has already endorsed 52.5bn/- for the project which were disbursed in June last year.

However the minister said they are also still looking for an ideal bidder for the Tazara project. The flyover will connect Nyerere and Mandela roads.
He said they will re-advertise the tender after the first attempt proved futile.

Elaborating further, Eng Lwenge said other projects that involve construction of flyover bridges at Ubungo, Chang'ombe, Magomeni, and Fire-Kamata are under the government, noting that meanwhile the government is still soliciting for appropriate shareholders to collaboratively work on them.

Chief Executive Officer for the Tanzania National Roads Agency (Tanroads), Patrick Mfugale was previously quoted by the media as saying that contractors for the Mandela/Nyerere road at Tazara junction had already started to pull out water pipelines that cover 2.8 kilometres.

In November last year, this paper reported that the construction of a flyover bridge at the busy Tazara junction was set to begin early January, next year.

However, the then Permanent Secretary in the ministry of Works, Mussa Iyombe told the seventh Joint Transport Sector Review (JTSR) meeting that plans have been finalised and that next year the construction would begin.

Iyombe stated that the detail design and preparations for tender documents were complete, land acquisition and preparations for relocation of utilities from the construction sites were in progress and assured that the actual construction work would begin in January, 2015.

The initial part of the project was implemented by a three joint venture contractors namely, RJR, JR and Jos Hansen.

SOURCE: THE GUARDIAN
 
Nini sasa Mkuu!? Mmeshaambiwa muwe na subira. Maskini nchi yetu, huu ni mwanzo tu kama wafadhili wataendelea kugoma kutoa pesa zao basi hali ya maisha nchini itakuwa ngumu kupita maelezo.

North Korea waliongea kitu kimoja niliwasifu sana. Wao walisema dunia hii ukitaka kuishi kwa amani na kufanya kila jambo unalotaka bila matatizo ni kuwa na teknolojia yako na uwezo wa kupata fedha mwenyewe kwa kutumia rasilimali zako. Ndiyo maana leo wana kiburi na wana nyodo hata za kumwambia USA tunaweza kukupiga tena tukiwa kwetu. Sisi hatuna kitu chochote, halafu tunaambiwa tunaibiwa tunajifanya wajuaji. Ngoja yatupate sasa. Wazungu wakikwambia hapana geuka nyuma angalia umejikwaa wapi. usibishane nao hao.
 
looh kweli nguo ya kuazima....haisitiri masab.ri:A S-confused1::A S-confused1:

hahahaha acha kabisa mwaka unaisha vibaya . wiki jana benki ya dunia wamesitisha kutoa billioni 500 za kujenga ile stendi mbezi. haya matukio hayaji kwa bahati mbaya na CCM bado hawajajua nini kinafuata. "REGIME CHANGE"
 
mwaka huu tutaona mengi. kila sehemu nchi wahisani wamebana miguu.
Yaani JK ndiyo atambue madhara ya kuwakumbatia akina Muhongo, Maswi na Mama Tibaijuka, hadi hao watu 'wamevimba' vichwa hadi kufikia Mama Tibaijuka amediriki kuitisha Press conference na kuapa kuwa hatauachia uwaziri alionao hata iweje!

Hivi ina maana ile tafsiri ya kuwa cheo ni dhamana, imebadilika tafsiri yake kwenye awamu hii ya nne ya JK na kuwa cheo ni personal property,kwa kila aliye nacho kwenye awamu hii ya JK?!
 
mie nakwambia ni sheeeda. nchi za wenzetu serikali nzima ilikuwa inaanguka lakini huku mawaziri wanawatisha wahisani kuwa haondoki mtu hap. wewe subiri tu , muda ukifika wataondoka wenyewe.
 
mie nakwambia ni sheeeda. nchi za wenzetu serikali nzima ilikuwa inaanguka lakini huku mawaziri wanawatisha wahisani kuwa haondoki mtu hap. wewe subiri tu , muda ukifika wataondoka wenyewe.

Na hivyo wazungu wanajua tuko tegemez kwao halafu wakija huku wanakuta tuna anasa na mambo ya rushwa, watatuadabisha sana.mwaka huu!
 
Tundu Lissu na Mama Makinda walisema moja kwa moja, labda tu hukutaka kuwaelewa. Pia Filikunjombe ndiyo alipasua moja kwa moja kuwa Escrow ni Kikwete. Ila kwa sababu yeye ni Rais, hatuwezi kumgusa kwa sasa. AMKA!!!!

Yaani JK ndiyo atambue madhara ya kuwakumbatia akina Muhongo, Maswi na Mama Tibaijuka, hadi hao watu 'wamevimba' vichwa hadi kufikia Mama Tibaijuka amediriki kuitisha Press conference na kuapa kuwa hatauachia uwaziri alionao hata iweje!

Hivi ina maana ile tafsiri ya kuwa cheo ni dhamana, imebadilika tafsiri yake kwenye awamu hii ya nne ya JK na kuwa cheo ni personal property,kwa kila aliye nacho kwenye awamu hii ya JK?!
 
Uwaziri mtamu bhanaaaa!!! Si umemuona mama fisadi jana hadi mishipa ya shingo ilimtoka, mwingine ni muongo Muhongo naye kang'ang'ana na kiti chake. Cheo ni dhamana ilikuwa mwaka 47, miaka hii cheo ni mali yako king'ang'anie mpaka kieleweke.

Back
Top Bottom