Constitution

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,592
29,712
wakuu nauliza kama kuna mtu ana nondo za feudal constitution maana nataka kupanua mawazo na nimejaribu kuzisaka bila mafanikio. weka pdf nitaishusha....
 
duuh,..... feudal constitution... hope utapata kutoka kwenye ma-archives......but watch out... usije geuka nakuwa Neanderthal !!!!! lol

sorry buddy, but don't have and really don't know where to find one.... good luck though..
 
wakuu nauliza kama kuna mtu ana nondo za feudal constitution maana nataka kupanua mawazo na nimejaribu kuzisaka bila mafanikio. weka pdf nitaishusha....

Mkuu,

Uko serious na hii feudal constitution au unamaanisha federal Constitution?
 
Back
Top Bottom