Conspiracy Theory: Waliowahi kupata coronavirus watakuja kuwa na advantage. Watapewa vitambulisho maalum. Msiowahi kupata corona jiandaeni kuhangaika

Keynez

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
2,012
2,000
Issue ya coronavirus bado ni mbichi sana. Mengi yanasemwa na mimi nitasema yangu machache, nikitumia ufahamu na maono yangu lakini pia nikitumia vyanzo vyangu mbalimbali. Leo nitaongelea issue moja muhimu sana ambayo mwaka huu hautaisha mtaanza kuiona inaanza kutekelezwa.

Kwanza inabidi wote tutambue, dunia haitakuwa kama ilivyokuwa baada ya hii issue ya corona kuisha. Hii ni ile watu wanaita 'turning point' katika historia ya binadamu. Itafika wakati, wanadamu wataweza kuchora mstari wakasema hiki ni kipindi kabla ya coronavirus, na hiki ni kipindi baada ya coronavirus, kama vile sasa hivi tunavyosema Kabla ya Kristo na Baada ya Kristo (BC and AD).

Kuna wataalamu wanasema wale watu ambao tayari wameshawahi kuambukizwa virus fulani halafu mwili ukapambana na kuishinda virus ile, basi mwili unajenga kinga ya aina fulani ambayo inazuia wao kuambukizwa tena na virus huyo kwa miezi au hata miaka mingi baadae. Inasemekana waliowahi kuambukizwa coronavirus halafu wakapona, wanaweza kujenga kinga hiyo.

Sasa kitakachoangaliwa ni jinsi gani ya kuwatambua na kuwatofautisha watu, yaani wale wenye kinga, na wale ambao hawana kinga ya coronavirus. Wale ambao hawana kinga ya coronavirus wataonekana ni tishio kwa usalama wa jamii na itabidi watengwe. Hawa hawatapata kazi, hawataruhusiwa kuingia sehemu mbalimbali na kupata huduma, nk. Njia pekee mtu ambaye hakuwahi kuambukizwa coronavirus ataweza kukubaliwa na jamii ni either atafute njia za kujiambukiza kwa makusudi, huku akiombea kupona, au apate chanjo.

Sasa kitakachofanyika ni kuwapa aina fulani ya utambulisho wale ambao wana kinga. Hii inaweza kuwa kwa kuwapa kadi fulani watakayokuwa wanatembea nayo au inaweza kuwa kwa mfumo wa chip itakayowekwa ndani ya miili yao. Sasa na sisi kwa figisufigisu za NIDA hili zoezi sijui litakwendaje.

Jambo moja litakalosaidia sana kutekeleza zoezi hili ni 'Artificial Intelligence' (nitatumia A.I kwa kifupi kuanzia sasa). Baada ya watu kuanza kupewa vitambulisho hivyo, ambavyo vitakuwa na barcodes, vitatengenezwa vifaa maalumu vitakavyowekwa sehemu mbalimbali kama vile security cameras ambavyo vitakuwa na uwezo wa kutambua kwa haraka sana ni nani ana kitambulisho hicho na ni nani hana. Kwa sisi ambao katika kazi zetu tunaona kwa karibu maendeleo ya A.I na Machine Learning, teknolojia hii ya AI imefika mbali sana, hili jambo ni dogo sana kulitekeleza.

Yaani A.I ndiyo dunia ya kesho, hakuna namna ya kuikwepa na sisi Tanzania tuko nyuma sana katika hili suala. Niliwahi kusoma makala moja ikimnukuhu Rais wa Russia, Vladimir Putin akisema, nchi itakayoweza kucontrol A.I itaicontrol dunia ya kesho. Hata hivyo sioni uwezekano wa nchi moja tu kucontrol teknolojia hiyo. Hata sisi tukifanya juhudi za makusudi, bado tuna nafasi katika dunia hii ya kesho. Hatuwezi kuafford kuwa tu watazamaji au wapokeaji kama ambavyo tumekuwa katika nyanja zingine.

Katika hatua za mwanzo za kupush hii agenda, mtaiona mfano kwenye suala la upatikanaji wa viza, kuna nchi ambazo zitatangaza kama kigezo kimojawapo cha kuomba viza, inabidi ufanyiwe coronavirus antibody test, kujua kama uliwahi kuambukizwa coronavirus na baadae kupona. Kama hautafaulu test, kwa maana mwili wako hautaonyesha kama uliwahi kupata coronavirus, hautaruhusiwa kuingia katika nchi hizo. Alternative itakuwa ni kupewa chanjo.

Tayari nchi kadhaa zimeanza kufikiria wazo la kutoa vitambulisho vya aina hii kwa raia wake, ikiwemo Chile, Italia, Ujerumani na hata Marekani. Chile wiki ijayo inaenda kuwa nchi ya kwanza kutoa hizi wanaita 'immunity passports' au 'immunity certificates'.

Juzi juzi nimesoma Shirika la Afya Duniani, WHO wamepitisha azimio kuwa pale chango ya coronavirus na COVID-19 itakapopatikana, nchi zote zitakuwa na haki ya kupata chango ile. Ukizingatia lugha iliyotumika, itakuwa ni ngumu sana kwa serikali ya nchi yoyote kukataa kuwafanyia chanjo watu wake, kama ambavyo sasa ni ngumu kwa nchi kujitoa kwenye Mahakama ya Kimataifa.

Kama umesahau yote niliyosema hapo juu, kumbuka hili neno, Artificial Intelligence.
 
black sniper

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
16,716
2,000
Hii kiboko
Mkuu top scientists wametengeneza Covid-19 symptoms tracker
Kwa Kweli dunia haitakuwa kama zamani tena maana mengi sana yatabadilika tujiandae tu kwa lolote

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
gimmy's

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
2,871
2,000
Umejitahidi sana kuficha neno alama ya shetani(666) ukiamini kwakusema hivyo watu watakuzodoa lakini wenye akili tumeshakuelewa.
Nashauri usijifiche wewe kuwa wazi na imani yako
 
Hii kitu ni real. Wanasayansi na serikali mbalimbali tayari wanaiongelea na tayari linafanyiwa kazi.

Mods, inakuwaje tena mnaiita hii mada ni conspiracy theory? Naweza kuwa nimechanganya na maoni yangu lakini nilikuwa muwazi kwenye hilo, mengine ni ya kweli.
 
Keynez

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
2,012
2,000
Umejitahidi sana kuficha neno alama ya shetani(666) ukiamini kwakusema hivyo watu watakuzodoa lakini wenye akili tumeshakuelewa.
Nashauri usijifiche wewe kuwa wazi na imani yako

Hiyo inaweza kuwa inaendana na mambo ya 666 ila nimeongelea kitu ambacho kipo na kinaongelewa kwa uwazi tu na wanasayansi na viongozi mbalimbali wa serikali duniani. Kwa kiasi kidogo sana nimeongeza maoni yangu binafsi.
 
Emar

JF-Expert Member
Nov 15, 2018
933
1,000
Issue ya coronavirus bado ni mbichi sana. Mengi yanasemwa na mimi nitasema yangu machache, nikitumia ufahamu na maono yangu lakini pia nikitumia vyanzo vyangu mbalimbali. Leo nitaongelea issue moja muhimu sana ambayo mwaka huu hautaisha mtaanza kuiona inaanza kutekelezwa.

Kwanza inabidi wote tutambue, dunia haitakuwa kama ilivyokuwa baada ya hii issue ya corona kuisha. Hii ni ile watu wanaita 'turning point' katika historia ya binadamu. Itafika wakati, wanadamu wataweza kuchora mstari wakasema hiki ni kipindi kabla ya coronavirus, na hiki ni kipindi baada ya coronavirus, kama vile sasa hivi tunavyosema Kabla ya Kristo na Baada ya Kristo (BC and AD).

Kuna wataalamu wanasema wale watu ambao tayari wameshawahi kuambukizwa virus fulani halafu mwili ukapambana na kuishinda virus ile, basi mwili unajenga kinga ya aina fulani ambayo inazuia wao kuambukizwa tena na virus huyo kwa miezi au hata miaka mingi baadae. Inasemekana waliowahi kuambukizwa coronavirus halafu wakapona, wanaweza kujenga kinga hiyo.

Sasa kitakachoangaliwa ni jinsi gani ya kuwatambua na kuwatofautisha watu, yaani wale wenye kinga, na wale ambao hawana kinga ya coronavirus. Wale ambao hawana kinga ya coronavirus wataonekana ni tishio kwa usalama wa jamii na itabidi watengwe. Hawa hawatapata kazi, hawataruhusiwa kuingia sehemu mbalimbali na kupata huduma, nk. Njia pekee mtu ambaye hakuwahi kuambukizwa coronavirus ataweza kukubaliwa na jamii ni either atafute njia za kujiambukiza kwa makusudi, huku akiombea kupona, au apate chanjo.

Sasa kitakachofanyika ni kuwapa aina fulani ya utambulisho wale ambao wana kinga. Hii inaweza kuwa kwa kuwapa kadi fulani watakayokuwa wanatembea nayo au inaweza kuwa kwa mfumo wa chip itakayowekwa ndani ya miili yao. Sasa na sisi kwa figisufigisu za NIDA hili zoezi sijui litakwendaje.

Jambo moja litakalosaidia sana kutekeleza zoezi hili ni 'Artificial Intelligence' (nitatumia A.I kwa kifupi kuanzia sasa). Baada ya watu kuanza kupewa vitambulisho hivyo, ambavyo vitakuwa na barcodes, vitatengenezwa vifaa maalumu vitakavyowekwa sehemu mbalimbali kama vile security cameras ambavyo vitakuwa na uwezo wa kutambua kwa haraka sana ni nani ana kitambulisho hicho na ni nani hana. Kwa sisi ambao katika kazi zetu tunaona kwa karibu maendeleo ya A.I na Machine Learning, teknolojia hii ya AI imefika mbali sana, hili jambo ni dogo sana kulitekeleza.

Yaani A.I ndiyo dunia ya kesho, hakuna namna ya kuikwepa na sisi Tanzania tuko nyuma sana katika hili suala. Niliwahi kusoma makala moja ikimnukuhu Rais wa Russia, Vladimir Putin akisema, nchi itakayoweza kucontrol A.I itaicontrol dunia ya kesho. Hata hivyo sioni uwezekano wa nchi moja tu kucontrol teknolojia hiyo. Hata sisi tukifanya juhudi za makusudi, bado tuna nafasi katika dunia hii ya kesho. Hatuwezi kuafford kuwa tu watazamaji au wapokeaji kama ambavyo tumekuwa katika nyanja zingine.

Katika hatua za mwanzo za kupush hii agenda, mtaiona mfano kwenye suala la upatikanaji wa viza, kuna nchi ambazo zitatangaza kama kigezo kimojawapo cha kuomba viza, inabidi ufanyiwe coronavirus antibody test, kujua kama uliwahi kuambukizwa coronavirus na baadae kupona. Kama hautafaulu test, kwa maana mwili wako hautaonyesha kama uliwahi kupata coronavirus, hautaruhusiwa kuingia katika nchi hizo. Alternative itakuwa ni kupewa chanjo.

Tayari nchi kadhaa zimeanza kufikiria wazo la kutoa vitambulisho vya aina hii kwa raia wake, ikiwemo Chile, Italia, Ujerumani na hata Marekani. Chile wiki ijayo inaenda kuwa nchi ya kwanza kutoa hizi wanaita 'immunity passports' au 'immunity certificates'.

Juzi juzi nimesoma Shirika la Afya Duniani, WHO wamepitisha azimio kuwa pale chango ya coronavirus na COVID-19 itakapopatikana, nchi zote zitakuwa na haki ya kupata chango ile. Ukizingatia lugha iliyotumika, itakuwa ni ngumu sana kwa serikali ya nchi yoyote kukataa kuwafanyia chanjo watu wake, kama ambavyo sasa ni ngumu kwa nchi kujitoa kwenye Mahakama ya Kimataifa.

Kama umesahau yote niliyosema hapo juu, kumbuka hili neno, Artificial Intelligence.
Kama huna agenda ya siri basi niseme kifupi unapotosha jamii ni hayo mawili tu.
Ushauri usikubali chanzo isiyopendekezwa na serikari ye2
 
Nakumbushia tu bandiko hili.
 
Shambaboy jogoli

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
1,066

Hahahahaha ukoloni mamboleo at work! Magufuli kaza hivyohivyo kumekalibia kukucha!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom