Conscientious stupidity and sincere ignorance

Si ungeandika Kiswahili tu 😀
Hujaelewa au ulitaka mabombastic... acha ushamba wa debates za sekondari kwanza kujidai mauzungu mengi vijana wamejikuta wameolewa huko majuu dadadeki!!
hicho mi kinatosha namshinda hata prezoo we fala nini? we ongea chako cha puani wakati unalipua lineneee hahahaaa
 
Povu la nini sasa? Uwe unaandika tu Kiswahili. Sawa?
 
Once the thread is here everyone is free to give opinions in any possible language he/she wants!! Chill baby boy we don't have whites here I know you wish you were!! Kosoa nilipokosea sio use me nisikitumie we vipi bhana!!
Niliskia MTU aliyeolewa na Mzungu ukikikosea inamuuuuuma wanaona kizungu kamachao wakati ukibofoa kwa mzungu yeye anaona poa tuu hahahahaaa
 
Once the thread is here everyone is free to give opinions in any possible way he/she wants!! Chill baby boy we don't have whites here I know you wish you were!!
Niliskia MTU aliyeolewa na Mzungu ukikikosra inamuuuuuma wanaona kizungu kamachao wakati ukibofoa kwa mzungu yeye anaona poa tuu hahahahaaa

I’m also giving my opinion, too.

Or am I not allowed to?
 
I’m also giving my opinion, too.

Or am I not allowed to?
Namimi natoa maoni yangu pia!! Mzungu akibofoa kiswahili mnamsiiifu na kumpamba you r good! Very gooood!!!
Lkn kinyume mswahili akichemka kingreza mnamwambia acha! acha! Unatia aibu... Fikra zakitumwa!!! My opinion
 
Once the thread is here everyone is free to give opinions in any possible language he/she wants!! Chill baby boy we don't have whites here I know you wish you were!! Kosoa nilipokosea sio use me nisikitumie we vipi bhana!!
Niliskia MTU aliyeolewa na Mzungu ukikikosea inamuuuuuma wanaona kizungu kamachao wakati ukibofoa kwa mzungu yeye anaona poa tuu hahahahaaa
Mwanangu andika Kiswahili.

Ngeli waachie NN na Kiranga.
Usiwe mbishi. !
 
Back
Top Bottom