Connection ya TV na subwoofer haifanyi kazi

Afisa Mteule Drj 2

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
3,557
3,903
Hapa kwenye picha kuna waya ambao una terminal nyekundu na nyeupe unatoka kwenye subwoofer na kuingia kwenye TV waya huo kama. unavyouona upande wa pili una interface ya kuingia kwenye TV lakini connection hii haifanyi kazi.

Lengo langu ni sauti kutoka kwenye TV isikike kwenye subwoofer.Subwoofer ina option 3 Aux,Bluetooth na FM.Bila.shaka hii connection inahitaji mode ya Aux.

Tatizo linaweza kuwa nini wataalamu?

20210911_123300.jpg

Huu waya wenye termina nyekundu na nyeupei,upande wa pili waya huu una pini kama unavyouona ambayo inaingia kwenye poti fulani ya TV ambayo inaonekana kwenye picha hii chini
20210911_122922.jpg

CHIEF MKWAWA sema neno na tatizo hili litakwisha
 
Mbona kuna vumbi sana, jaribu kubadili waya mwingine. itakuwa shida waya tu hapo.
 
Hapa kwenye picha kuna waya ambao una terminal nyekundu na nyeupe unatoka kwenye subwoofer na kuingia kwenye TV waya huo kama. unavyouona upande wa pili una interface ya kuingia kwenye TV lakini connection hii haifanyi kazi.

Lengo langu ni sauti kutoka kwenye TV isikike kwenye subwoofer.Subwoofer ina option 3 Aux,Bluetooth na FM.Bila.shaka hii connection inahitaji mode ya Aux.

Tatizo linaweza kuwa nini wataalamu?

View attachment 1933322
Huu waya wenye termina nyekundu na nyeupei,upande wa pili waya huu una pini kama unavyouona ambayo inaingia kwenye poti fulani ya TV ambayo inaonekana kwenye picha hii chini
View attachment 1933325

CHIEF MKWAWA sema neno na tatizo hili litakwisha
mkuu hakikisha vitu vifuatavyo..

TV..
Hakikisha huo waya wa audio jack unaingia kwemye port yake vizuri

Sabufa

Hakikisha audio visual cables(AV) red na white zinaingia kwenye sabufa sehemu ya AUDIO IN.
Alafu ipeleke sabufa kwenye Auxiliary mode( AUX).
mambo yatakuja mubashara.

Ikigoma jaribu kutrack kati ya vitu vitatu kipi kibovu

1. Audio Jack port kwenye TV
2. Waya wenyewe
3. Audio visual(AV) port kwenye sabufa.
Apo mchawi lazima ajulikane ni nani
 
Back
Top Bottom