Connection na ajira

Connections ziko kila mahali mjini bora tu ue mtu wa kujichanganya. Hta mim kazi nlokua nayo ni connection tu.
 
Hiyo connection uliosema mimi nimejiunga Linkedin nina miaka 5 sasa ila shida ya kupata connection iko palepale mzea. Ni rahisi sana kuona wengine ni wazembe kwa kuwa upo at the stage!!!
Mi mwenyewe nipo, kule kitambo Kwanza wanazarau watu wa kule.,
 
Main source of connection ni wewe mtu binafsi na siyo hao unaowafikiria.

Trust inajengwa pale mtu anapokujua na kuelewa uwezo wako kiujumla.

Kuna baadhi ya sifa ambazo zina mfanya mtu kuvutiwa na wewe na kukupa nafasi hatakama hamjuani.

Hakuna anayependa kuahibishwa, yaani akuunganishe kwenye kazi fulani halafu ukaharibu huko, lazima mtu ajiridhishe kuwa kweli wewe upo vizuri kuanzia nidhamu hadi utendaji na hii inachukua muda.

Nina uhakika humu jf wapo ma CEO wa makampuni na hata wamiliki wa biashara zao, kwanini wasifike tu jf na kuchukua watu?

1. Uaminifu
2. Nidhamu ya utendaji
3. Uwezo wako katika kazi husika.

Ukiweza kumuonyesha mtu hivyo vitu vitatu kwa njia yoyote ile amini kuna mtu anaweza punguzwa kazi ili wewe upewe nafasi.

Sasa usiulize nitawezaje kumuonyesha mtu hivyo vitu ilihali hatujuani, hiyo ni SEHEMU YAKO wewe kutumia mbinu zako mwenyewe kupata unachokitaka.

(hapo ndipo elimu yako inapoanza kutumika,)

(soft skills muhimu)
Mkuuu naomba email yako..you sound matured na Mkuu wa kitengo hope utanisaidia jambo
 
Connection ni mtu au watu wanaokua ni wa kwanza kukujulisha nafasi ya kazi au umeona nafasi ya kazi kwenye kampuni fulani na haujui taarifa za nafasi hiyo so unatafuta mtu sio wa kukubeba lakini wa kukusaidia kupata taarifa sahihi toka.ndani ya kampuni ili uweze apply kazi husika au kama umekua shortlisted ili ufanye vizuri kwenye usahili.

Connections kwa upande wangu zinapatikana kwenye Mtandao wa LINKELDN ....ukijunga wale watu unaowaomba request hawawi followers wako kama instagram bali wanaitwa CONNECTIONS.

So huwa nashangaa sana mtu anakuja hapa jf analia lia naomba connections....mwenye connections.

Wakati LINKELDN kuna ma-HR, CEO's, MANAGERS, HOD's, Employers, experienced Emplyee wa makampuni mbali mbali hapa Tanzania...ila watu wanakomaa hapa JF ......

Na ukiwatumia ujumbe huko LINKELD wana reply........

Kule una uwezo wa kumtumia ujumbe mfupi MKUU yeyote wa kampunu, HR au staff yeyote na akakujibu.

Ila wajinga watakomaa kuomba connections sehemu ambazo sio sahihi.
Mkuu naomba email yako you sound very determined person na unamaanisha ukisemacho . Na huna longolongo. Hope utanisaidia.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom