Connection: Je unaweza kazi ya ukonda?

kofia ya plastiki

JF-Expert Member
Jun 9, 2019
416
404
Kuna rafiki mmoja ameniambia kama uko tayari kuna kazi ya ukonda.. Sijawai ifanya hii kazi hata siku 1 kwa wazoefu hii kazi ikoje?
 
Kuna rafiki mmoja ameniambia kama uko tayari kuna kazi ya ukonda.. Sijawai ifanya hii kazi hata siku 1 kwa wazoefu hii kazi ikoje?
Mi nishafanya ya ukonda wa gali la mizigo. Ni kazi nzuri na ni ya kawaida ikikushinda utakuwa mzembe.
Hata ya abiria ni poa tu kama utalipwa vizur
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom