Democracy999
JF-Expert Member
- May 26, 2012
- 945
- 189
Malawi na UK/US vs Tanzania na Iran/Oman! Mungu wa Abraham tunusuru manake tende zatukaba koo
Kiranga, tatizo sio kunywea baada ya moto kuwa mkali, tatizo ni kwanini tulilianzishaaa??? Does it mean viongozi husika hawakuliona hilo au ni UZUZU wao???
halafu eti tunawashangaa mababu zetu kina chifu magungo kutawaliwa na mkoloni,wakati tunarudia makosa yaleyale..kwani ugomvi wa marekani na iran unatuhusu nini sisi.?
Pamoja na haya MAGUNYA kutuingiza kwenye matatizo na BIG BROTHER bado eti yanatuwekea vizingiti kuingia Zanzibar eti lazima tuwe na passport SIC! Kwanini tusiyaache haya MAGUNYA halafu BIG BROTHER aya BOMB TO STONE AGE.
Malawi na UK/US vs Tanzania na Iran/Oman! Mungu wa Abraham tunusuru manake tende zatukaba koo
Kwasababu akishayabomb magunya to stone age haitakuwa mwisho. Unajuwa kaanzia wapi. Iraq, afghanistan, libya, syria. Akimaliza kuyabomb magunya wewe utakuwa salama? labda uendelee kumramba mata** hadi yesu afufuke.
Being super power sometimes is very exciting! Passing and enforcing laws internationally! It is well known that under normal circumstances one state can not pass laws to have effects on another state! But US does
Our President is a very trickly person, he laugh at you.....huku anakuzunguka, amerika has to study him so well. hii operation ya stations za mafuta nyingi sana along the highways of each msikiti beside it
ina mambo, His beloved son Ridhiwani became a young bilionea all over sudden.....So know, we tanzania will weep and mourn bitterly just because of your hypocricy on this
Remove contribution of US in health system in Tanzania we are dead for real. These Zanzibaris will "kill"us out of their greed, laxity (urojorojo) and stupidityTwafa kudadadeki
Obama na Wamarekani wajue kua Zanzibar sio Tanzania. Kwa hiyo wanayofanya zenji haituhusu, kama wanataka kutoa sanctions basi wawape serikali ya Zenji. Sisi watanganyika hatuna kosa lolote.
Mkuu Interest za marewkani na Uingereza hutangulia vitu vyote. Ukiona kiongozi amefungiwa kuingia marekani au Uingereza has everything to do with their interest investment nchini humo. Tumeyaona Zimbabwe kwa Mugabe hakuw ana mahusiano ya Iran wala Iraq, bali aliwakata mkono uendao kinywani.Mkandara
Element ya kwanza ya vikwazo huwa ni ban kwa viongozi wa nchi kutembelea nchi zilizowawekea vikwazo na marafiki zao. Kuna kiongozi wa Tanzania unamuona yuko tayari kupewa ban ya kutembelea Marekani na Uingereza?