Kafanya kosa gani tena?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Haya mambo ndo nataka yafanyike hapa kwetu bongo.Mkuu wa Majeshi Kongo, Jenerali Gabriel Amis amefukuzwa kazi na Rais Kabila kwa tuhuma za kuwasaidia silaha waasi. Chanzo cha habari ni BBC.
Mkuu wa Majeshi Kongo, Jenerali Gabriel Amis amefukuzwa kazi na Rais Kabila kwa tuhuma za kuwasaidia silaha waasi. Chanzo cha habari ni BBC.
Mkuu wa Majeshi Kongo, Jenerali Gabriel Amis amefukuzwa kazi na Rais Kabila kwa tuhuma za kuwasaidia silaha waasi. Chanzo cha habari ni BBC.