Congo: Rais Kabila amfukuza kazi Mkuu wa Majeshi

Kageuka

JF-Expert Member
Jun 22, 2012
241
59
Mkuu wa Majeshi Kongo, Jenerali Gabriel Amis amefukuzwa kazi na Rais Kabila kwa tuhuma za kuwasaidia silaha waasi. Chanzo cha habari ni BBC.
 
hapo nchi haitatawalika tena!na yeye sii rais makini anakula bata tuu kinshasa!sii tena uganda,rwanda wanasaidia silaha?
 
Nilikuwa namshangaa Kabila hili kwa nini halifanyi haraka! Ukiona jwshi lako linapigwa ki uzembe,wewe kama rais cha kwanza kufanya fire mkuu wako wa majeshi weka mwingine compitent,askari wa chini huwa wanafuata maelekezo tu.
 
Kabila is a poor strategist! This will bite him back somehow....lets wait and see
 
Mkuu wa Majeshi Kongo, Jenerali Gabriel Amis amefukuzwa kazi na Rais Kabila kwa tuhuma za kuwasaidia silaha waasi. Chanzo cha habari ni BBC.

Hata mimi nilishangaa sana kuona eti waasi wanauteka GOMA na miji mingine kirahisi na hakukuwa na exchange of fire!! Nili smell a rat!!! Wanataka kumwondoa Kabila na ajiandae!!
 
Mkuu wa Majeshi Kongo, Jenerali Gabriel Amis amefukuzwa kazi na Rais Kabila kwa tuhuma za kuwasaidia silaha waasi. Chanzo cha habari ni BBC.

Anapaswa kuwa court martialed sio kufukuzwa. Na wakati nchi ikiwa vitani kesi kama hii ni court martial na firing squad. Hapa ndipo Kabila Kachelewa sana, kuweka nidhamu katika jeshi la DRC. Nadhani pia amwangalie mkuu wa Intelligence katika jeshi. Alikuwa wapi siku zote hizi kutambua hili?
 
Asimpomweka ndani atampindua siku si nyingi kama aliweza kushirikiana na waasi ana lake jambo.
 
hawa mk ,.wameteka miji hili tunaona kama vile kibao kitawageukia kwasababu watakuwa wameingia kati kule pembeni ilikuwa wakishambuliwa wanavuka mpaka na kupotea ,kuja hapo kati kunaweza kuipa serikali nafuu ya kuwazingira kinachofanyika ni kuhamisha raia wabaki wenyewe .kama ilivyofanyika sirte libya ,pia inasaidia serikali kujua nguvu zao zikoje .ngoja tuone .....
 
Unamfukuza kazi mtu mkubwa kama huyo, kweli busara ni za kuzaliwa nazo. Huyo alitakiwa kulazimishwa kujihudhuru mwenyewe tu ili kulete amani nchini. Hata hivyo ukiona raisi unagombana na majenerali wa jeshi, basi unakaribia kufanyiwa kitu mbaya. Kwani Majenerali wananetwork kubwa kiusalama wa nchi. Kwa kumfukuza Mkuu wa Majeshi, bado hajasolve tatizo na awe amejiaanda kwelikweli.
 
Kabila ni dhaifu sana.
Miaka yote hiyo madarakani (zaidi ya kumi) anashindwa kuwa na jeshi lenye uwezo wa kuilinda nchi na mipaka yake. KWELI?
Inaonyesha kuwa alichaguliwa kwa sababu tu alikuwa ni mtoto wa rais.

Kila siku kutegemea Majeshi ya nchi jirani, Wanamgambo maeneo ya mashariki (Maimai, Interahamwe nk), Umoja wa mataifa.
 
Hana jipya huyu Rais Kabila, labda amemfukuza Mkongoman sasa anataka kumweka Mnyarwanda mwenzake
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom