Confused,I need your help!

Sisy2

Senior Member
Dec 22, 2013
132
71
Nawasalimu!Ni member mpya humu jamvini,japo nilikuwa naingia Mara kwa Mara.Ni mwanamke niliyeolewa miaka 10 iliyopita,nina miaka 34,nina mtoto mmoja aged 3yrs.Tangu nimeolewa sijawahi kufurahia mapenzi,na sijawahi fikishwa kileleni.Changamoto niliyonayo na ambayo imenisukuma kuomba ushauri kwenu,ambao naamini waweza nipatia japo ufumbuzi wa tatizo.tatizo lilipo ni udhaifu wa mume wangu kitandani,yaani huwa Hana hamu ya kugegeda,sijawahi ku"do"Mara mbili kwa siku moja,hawezi kurudia round,akimaliza anachoka,na hata tukifanya dakika 5 ni nyingi game inakuwa over. .Na tunaweza maliza mwezi na zaidi hatuja"do"tena,nimeishi ktk mazingira hayo kwa muda wote Huo,na nimekuwa mwaminifu kwa muda wote Huo.kadri cku zinavoenda nahisi kukosa kufurahia tunda,na mr. Anadai kapata hili tatizo tu,huko nyuma alikuwa fit,je wadau twaweza pata suluhu?ishu ya usaliti siiwezi kabisa,and we love each other,hili tatizo naye linamsikitisha,nikimwambia twende hospital hayuko tayari,na mwili wangu una demand huduma takatifu!na hatuwezi ku do mpaka mie nimshawishi tena kwa lazima,hata miezi Sita yaweza kupita bila huduma,na nilikuwa sioni shida,lakini siku hizi inanipa shida.naombeni ushauri wenu,mnisamehe bure sijaweka para,device nayotumia siyo friendly.thanx
 
Naomba tutafutane, mi pia nina problem hiyo. Wife hataki ku-do kabisa. Tuwe tunafanya halafu tunarudi kwa wenzi wetu. No strings attached. Unaonaje? Ni PIM ili tupeane namba za simu tupange pa kuonana.
 
Nawasalimu!Ni member mpya humu jamvini,japo nilikuwa naingia Mara kwa Mara.Ni mwanamke niliyeolewa miaka 10 iliyopita,nina miaka 34,nina mtoto mmoja aged 3yrs.Tangu nimeolewa sijawahi kufurahia mapenzi,na sijawahi fikishwa kileleni.Changamoto niliyonayo na ambayo imenisukuma kuomba ushauri kwenu,ambao naamini waweza nipatia japo ufumbuzi wa tatizo.tatizo lilipo ni udhaifu wa mume wangu kitandani,yaani huwa Hana hamu ya kugegeda,sijawahi ku"do"Mara mbili kwa siku moja,hawezi kurudia round,akimaliza anachoka,na hata tukifanya dakika 5 ni nyingi game inakuwa over. .Na tunaweza maliza mwezi na zaidi hatuja"do"tena,nimeishi ktk mazingira hayo kwa muda wote Huo,na nimekuwa mwaminifu kwa muda wote Huo.kadri cku zinavoenda nahisi kukosa kufurahia tunda,na mr. Anadai kapata hili tatizo tu,huko nyuma alikuwa fit,je wadau twaweza pata suluhu?ishu ya usaliti siiwezi kabisa,and we love each other,hili tatizo naye linamsikitisha,nikimwambia twende hospital hayuko tayari,na mwili wangu una demand huduma takatifu!na hatuwezi ku do mpaka mie nimshawishi tena kwa lazima,hata miezi Sita yaweza kupita bila huduma,na nilikuwa sioni shida,lakini siku hizi inanipa shida.naombeni ushauri wenu,mnisamehe bure sijaweka para,device nayotumia siyo friendly.thanx[/QUOT
HAPA KINACHOHITAJIKA NI AINA YA VYAKULA ,NA MTINDO WA MAISHA KWA UJUMLA.....KAMA NI MTU WA FEGI AACHE,PIA GAHWA,TCHAI,POMBE, N.K.
ASITUMIE SEMBE AU NAFAKA ZILIZOKOBOLEWA......WAKATI WA JIONI JARIBU KUMPATIA TANGAWIZI CONC. HALAFU BAADA YA MUDA ....MPATIE MDALASINI ILIYOCHANGANYWA NA ASALI.... PIA AWE NA MUDA MREFU WA KUPUMZIKA ....NI SIKU CHACHE TU UTAONA MABADILIKO.........
 
Kama na yeye analiona hilo tatzizo kinachofanya agome kwenda hospitali ni nin? usijekuta analifahamu tatizo na anajua chanzo chake labda kukuambia anaona aibu maana kama naye lingekuwa linamkuna angeonyesha ushirikiano wa hali ya juu maana yeye ndo muhusika,je kabla hajakuoa mlikuwa mnafanya? performance yake ilikuwaje hapo kabla?
 
Umri wa mumeo ni miaka mingapi?

Je mumeo ana magonjwa kama kisukari, shinikizo la damu, maumivu ya pingili za uti wa mgongo?

Ana historia yoyote ya kufanya masterbation au ana tatizo la mfadhaiko?

Je ni mvutaji wa sigara au mnywaji sana wa pombe?

Halafu ngoja pia nigeukie upande wako...

Kabla ya kuwa na mumeo, ushawahi kushiriki tendo la ngono na mwanaume mwingine hapo kabla?
Kama ndio, je huwa unafanya comparions?

Huwa unatumia muda mrefu kujiandaa kifikra na kimwili kabla ya kungonoka?
 
Pole sana dada kwa yanayokupata juu ya kukosa haki yako ndoa,je huwa unamvalia kimtego,na kumkalia kimtego mkiwa naye? kama unaweka mazingira yote ya ushawishi bila mafanikio hebu mshauri akacheck kisukari, mara nyingi kinachangia kuondoa hamu ya meza ya Bwana,pia matunda kama matikiti,pilipili,balanced diet, mpatie ukimaliza yote hayo bila mafanikio fanya hivyi......mpeleke akaombewe yawezekana anajini mara nyingi yanawatokea kwenye ndoto anamaliza shughuli yote akija kwa mkewe hakuna hamu kabisa.........je kuna jambo gani lilogumu la kumshinda Bwana?
 
Kiafya kuna matatizo anuai yanayopelekea mwanaume kupoteza,kupunguza ama kutokuwa vyema at all katika perfomance,mathalan vyakula,matumizi ya madawa kwa muda mrefu and likely...

Kisaikolojia kuna athari nyingi as welll zikiwemo sababu ya kikazi,financial matters,msongo wa mawazo na vitu vingine vinavyofanana na hivyo! Kila mmoja takuwa na wigo wake wa kushauri hapa ila kubwa zaidi ilikuwa ni kuwaona wataalamu wa masuala ya afya....

La zaidi nikupe tu angalizo kwamba,nikiamini maneno yako ya uaminifu kwamba hukuongopa basi endelea kutunza uaminifu huo huo wakati mkifuata ushauri milopata kwa wataalamu wa afya kwa kuwa once ukijaribu kuchepuka pembeni ndipo utakapogundua udhaifu zaidi wa mapenzi wa mumeo,na hata huyo atakayevumbua udhaifu huo utagundua ana mapungufu mara umpatapo wa tatu na kuendelea.....
 
Umri wa mumeo ni miaka mingapi?

Je mumeo ana magonjwa kama kisukari, shinikizo la damu, maumivu ya pingili za uti wa mgongo?

Ana historia yoyote ya kufanya masterbation au ana tatizo la mfadhaiko?

yaaa maswali ya msingi sana haya akayifanyia kazi kama ni swala la kiafya atakuwa ametoka kwenye shida hii.
 
Nawasalimu!Ni member mpya humu jamvini,japo nilikuwa naingia Mara kwa Mara.Ni mwanamke niliyeolewa miaka 10 iliyopita,nina miaka 34,nina mtoto mmoja aged 3yrs.Tangu nimeolewa sijawahi kufurahia mapenzi,na sijawahi fikishwa kileleni.Changamoto niliyonayo na ambayo imenisukuma kuomba ushauri kwenu,ambao naamini waweza nipatia japo ufumbuzi wa tatizo.tatizo lilipo ni udhaifu wa mume wangu kitandani,yaani huwa Hana hamu ya kugegeda,sijawahi ku"do"Mara mbili kwa siku moja,hawezi kurudia round,akimaliza anachoka,na hata tukifanya dakika 5 ni nyingi game inakuwa over. .Na tunaweza maliza mwezi na zaidi hatuja"do"tena,nimeishi ktk mazingira hayo kwa muda wote Huo,na nimekuwa mwaminifu kwa muda wote Huo.kadri cku zinavoenda nahisi kukosa kufurahia tunda,na mr. Anadai kapata hili tatizo tu,huko nyuma alikuwa fit,je wadau twaweza pata suluhu?ishu ya usaliti siiwezi kabisa,and we love each other,hili tatizo naye linamsikitisha,nikimwambia twende hospital hayuko tayari,na mwili wangu una demand huduma takatifu!na hatuwezi ku do mpaka mie nimshawishi tena kwa lazima,hata miezi Sita yaweza kupita bila huduma,na nilikuwa sioni shida,lakini siku hizi inanipa shida.naombeni ushauri wenu,mnisamehe bure sijaweka para,device nayotumia siyo friendly.thanx[/QUOT
HAPA KINACHOHITAJIKA NI AINA YA VYAKULA ,NA MTINDO WA MAISHA KWA UJUMLA.....KAMA NI MTU WA FEGI AACHE,PIA GAHWA,TCHAI,POMBE, N.K.
ASITUMIE SEMBE AU NAFAKA ZILIZOKOBOLEWA......WAKATI WA JIONI JARIBU KUMPATIA TANGAWIZI CONC. HALAFU BAADA YA MUDA ....MPATIE MDALASINI ILIYOCHANGANYWA NA ASALI.... PIA AWE NA MUDA MREFU WA KUPUMZIKA ....NI SIKU CHACHE TU UTAONA MABADILIKO.........
Asante ndg nitayafanyia kazi.ubarikiwe kuwa msaada
 
haya maswali mazuri..yapo tekniko kabisa...ngoja tusubiri majibu yake.
Umri wa mumeo ni miaka mingapi?

Je mumeo ana magonjwa kama kisukari, shinikizo la damu, maumivu ya pingili za uti wa mgongo?

Ana historia yoyote ya kufanya masterbation au ana tatizo la mfadhaiko?

Je ni mvutaji wa sigara au mnywaji sana wa pombe?

Halafu ngoja pia nigeukie upande wako...

Kabla ya kuwa na mumeo, ushawahi kushiriki tendo la ngono na mwanaume mwingine hapo kabla?
Kama ndio, je huwa unafanya comparions?

Huwa unatumia muda mrefu kujiandaa kifikra na kimwili kabla ya kungonoka?
 
chips kuku hizo , oh! tamu, sasa ndiyo madhara yake. kula vitu natural bwana na mazoezi ya kutosha lipe tumbo mazoezi kama kufunga kidogo na kumpumzika
 
haya maswali mazuri..yapo tekniko kabisa...ngoja tusubiri majibu yake.
Yuko kwenye early 40's,hana magonjwa hayo,ila anakunywa pombe.sijajua kama alikuwa anafanya masturbation si unajua hiyo ni siri ya mtu.huwa inategemea make siku nayotaka yeye hayuko tayari,na mpaka m do ni kwa kumlazimisha so huwezi ku enjoy.sikuwahi kufanya mapenzi kabla ya ndoa.
 
Naomba tutafutane, mi pia nina problem hiyo. Wife hataki ku-do kabisa. Tuwe tunafanya halafu tunarudi kwa wenzi wetu. No strings attached. Unaonaje? Ni PIM ili tupeane namba za simu tupange pa kuonana.

Duh, huu ushauri kiboko
 
chips kuku hizo , oh! tamu, sasa ndiyo madhara yake. kula vitu natural bwana na mazoezi ya kutosha lipe tumbo mazoezi kama kufunga kidogo na kumpumzika
Sema ndg hayajakupata,hizi chips hakuwa na access nazo!usiwe mwepesi kufanya conclusion
 
Back
Top Bottom