Sisy2
Senior Member
- Dec 22, 2013
- 132
- 71
Nawasalimu!Ni member mpya humu jamvini,japo nilikuwa naingia Mara kwa Mara.Ni mwanamke niliyeolewa miaka 10 iliyopita,nina miaka 34,nina mtoto mmoja aged 3yrs.Tangu nimeolewa sijawahi kufurahia mapenzi,na sijawahi fikishwa kileleni.Changamoto niliyonayo na ambayo imenisukuma kuomba ushauri kwenu,ambao naamini waweza nipatia japo ufumbuzi wa tatizo.tatizo lilipo ni udhaifu wa mume wangu kitandani,yaani huwa Hana hamu ya kugegeda,sijawahi ku"do"Mara mbili kwa siku moja,hawezi kurudia round,akimaliza anachoka,na hata tukifanya dakika 5 ni nyingi game inakuwa over. .Na tunaweza maliza mwezi na zaidi hatuja"do"tena,nimeishi ktk mazingira hayo kwa muda wote Huo,na nimekuwa mwaminifu kwa muda wote Huo.kadri cku zinavoenda nahisi kukosa kufurahia tunda,na mr. Anadai kapata hili tatizo tu,huko nyuma alikuwa fit,je wadau twaweza pata suluhu?ishu ya usaliti siiwezi kabisa,and we love each other,hili tatizo naye linamsikitisha,nikimwambia twende hospital hayuko tayari,na mwili wangu una demand huduma takatifu!na hatuwezi ku do mpaka mie nimshawishi tena kwa lazima,hata miezi Sita yaweza kupita bila huduma,na nilikuwa sioni shida,lakini siku hizi inanipa shida.naombeni ushauri wenu,mnisamehe bure sijaweka para,device nayotumia siyo friendly.thanx