Elections 2010 CONFIRMED: Zitto Kabwe ashinda jimbo la Kigoma Kaskazini

Status
Not open for further replies.

senator

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
1,924
66
Matokeo rasmi ZIto kabwe amepata kura 23005
Mgombea wa ccm amepata 18161
 
Duh, haikuwa kazi rahisi kiviiiiile. Pamoja na kazi nzuri anayofanya kijana, bado kuna wananchi wanataka kumng'oa, duh!
 
hongera sana japo cjapenda margin kwani kwa kazi nzuri uliyofanya ulitakiwa upite bila kupingwa. Japo kwa heshima zote tunaheshimu maamuzi ya wapiga kura
 
CCM wanachakachua kama kawa mana nasikia Serukamba nae kashinda kwa margin kama hiyo tu naona walishindwa kwa ZITTO..bado tunapanda tu...tunapanda milimani..najua tutafika tutafika wazimaaa.. na ushindi wa kawaida sio kishindo snaaa
 
Hongera sana mpinaji wangu Zito K. Hakika Mungu hamtupi mja wake hata kama binadamu akiweka vikwazo tele. Asanteni wapiga kura wa Kigoma kwa kufanya the needful kwa Zito. Naamini Zito atakaza zaidi safari hii hasa ukichukulia kuwa wananchi wake walikaza kiume katika kufanikisha tendo la ushindi.
 
Nini Serukamba kashinda??? Duhh! Basi uchakachuaji mkubwa na waajabu kabisa huo!!

Sadly, it is true. Kapata kitu kama 20,594 na wa CHADEMA 19,...... Kosa la CHADEMA ilikuwa kukubali kura kuhesabiwa upya. Nadhani wakati wanarumbana,sijui ngoja twende nje tukajadiri etc, wenzao walikuwa wanapiga bao. Matokeo ya awali CHADEMA walikuwa wanaongoza kwa kama kura 450
 
Kigomba Mjini 20594 Serukamba wa Kigoma
19414 Bwana Ali na CUF wamekuwa wa Tatu

Zito kapata kura 23315 Lembo 1416 wa CCM
Source TBC at 2306hrs
 
Sadly, it is true. Kapata kitu kama 20,594 na wa CHADEMA 19,...... Kosa la CHADEMA ilikuwa kukubali kura kuhesabiwa upya. Nadhani wakati wanarumbana,sijui ngoja twende nje tukajadiri etc, wenzao walikuwa wanapiga bao. Matokeo ya awali CHADEMA walikuwa wanaongoza kwa kama kura 450
hahaha hapo ndo wakapigwa tobo swafii ..Yaani kama ingekuwa haki bin Haki naona mwaka huku kungekuwa nusu kwa nusu bungeni!..fitina kibao za uchakachuaji!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom