Matokeo rasmi ZIto kabwe amepata kura 23500
Mgombea wa ccm amepata 18191
Nini Serukamba kashinda??? Duhh! Basi uchakachuaji mkubwa na waajabu kabisa huo!!
hahaha hapo ndo wakapigwa tobo swafii ..Yaani kama ingekuwa haki bin Haki naona mwaka huku kungekuwa nusu kwa nusu bungeni!..fitina kibao za uchakachuaji!Sadly, it is true. Kapata kitu kama 20,594 na wa CHADEMA 19,...... Kosa la CHADEMA ilikuwa kukubali kura kuhesabiwa upya. Nadhani wakati wanarumbana,sijui ngoja twende nje tukajadiri etc, wenzao walikuwa wanapiga bao. Matokeo ya awali CHADEMA walikuwa wanaongoza kwa kama kura 450