Elections 2010 CONFIRMED: Vunjo ni ya Mrema Augustine!

KiparaDar

Member
Mar 20, 2007
68
29
wakuu!

waweza fikiria ni kichekesho!!!!!!!!!!!!!!!!Augustine Mrema ni MP elect,more nyuzi to come!
 
Duh, japo ni upinzani, naweza suspect huyu ni CCM in another outfit......! Well done though, lets wait and see what happens next!
 
Bunge la mwaka huu full burudani mzee wa Kiraracha nae ndani safi sana
 
Hahaha, inachekesha ila maadam ni upinzani hebu tusubiri anakuja na staili gani this time. Amesema alishatanguliza koti lake Dodoma. Kama hatokuwa mnafki anaweza kuchangamsha bunge kimtindo.
 
hongera zake, mzee wa kiraracha japo pole kubwa kwa kijana mpiganaji john mrema, natumaini 2015 mzee wa kiraracha atakuwa kachoka sasa, hapo john mrema atapokea kijiti
 
Lengo lake ni kupata nafasi na mala nyingi huwa hana mzaa akiwa kazini huwa namwamini sana mrema hasa pale anapoamuwa kuwawakilisha watu,we suburi kama ni kweli bunge ni safiiiiiiiii

mapinduziiii daimaaaaa
jamani wadu zanzibar kunaniiiiii?
 
Hii imetulia bora ameachana na kinyang'anyiro cha uraisi maana huko ni kwa mapapa tu yeye kambale lake tope...tusubiri matokeo akiililia nchi hii
 
Namba safi zinaingia mjengoni Mrema, Tundu Lissu,Manyika,Zito,Mbowe Nyerere, ........Hapata tosha!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom