Elections 2010 Confirmed: Sugu mbunge mpya Mbeya Mjini

Ok hongera..sasa inabidi hawa watu wawe well-seasoned ili kuwa effective bungeni.
 
quote "kuna mambo mengi bado watu hawajajua, huwezi kuzuia mvua, sugu ni kama mvua nikiamua kunyesha nanyesha!!!!!!" hahahaaaaaaa wananiita suguuuuuu suguuuuuuuuuuuuuu suguuuuuuuuuu suguuuuuuuuuuuuuuuu
 
Ni mambo ya fedha, na hamta ya weza, mambo ya fedhaaaaaaa, hatimaye bungeni wabungu wakianza kusinzia tu wanapewa burudani ya deiwaka, demaka deiwaka
 
Sikujua kama leo igekuwa nzuri kwangu kama ilivyo sasa hivi nashindwa hata kueleza ni raha ya ajabu. mungu ibariki Tanzania na watu wake wote.
 
as soon Sugu atakuwa Muheshimiwa...
kazi kwa Kibonde sasa, atabakia na Asalam aleikhum yake mpk mwisho wa dahari.
 
Ok hongera..sasa inabidi hawa watu wawe well-seasoned ili kuwa effective bungeni.

Mkuu for now let's just be happy for this change ila kuanzia next week lazima tuanze kutoa ujumbe kwa hawa wabunge wapya as to what we expect from them!
 
mi nwaambia kuna mambo mengi yanatokea Yatawaacha midomo wazi, yatawashangaza watu, asanteni waTz
 
Achenni bana...nilipata bahati ya kumsikia sugu akimwaga sera loool jamaa yuko fiti kinoma noma.....anafaa kupewa uwaziri mkuu
 
Mbeya mjini, Nyamagana, Rombo, Iringa Mjin.....too good to be true!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom