Elections 2010 Confirmed: Sugu mbunge mpya Mbeya Mjini

Nyambala

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
4,465
1,170
Napata habari hapa kutoka ndani ya chumba cha kujumlishia matoke CHADEMA imeshinda na sugu ndiye mbunge wa Mbeya Mjini.
 
napata habari hapa kutoka ndani ya chumba cha kujumlishia matoke chadema imeshinda na sugu ndiye mbunge wa mbeya mjini.

teh, teh, teh....
Upepo wa mageuzi umeshika kasi tanzania.
Bravo mr sugu.
 
Sugu moto chini, sugu moto chini X 4
Sugu moto chini, sugu moto chini aaaa-aa-aa-aaah.....!
 
Jamani tupeni figa za Mafiati, Makunguru, Mwanjelwa, Uhindini, Ghana, Nzovwe nk
 
"Watoto wa magorofani, hamjui mimi ni nani, ni sugu maza f***ker nimekuja kuwapaka" Kibonde na mboga wenzio mkawe mkao wa kuliwa oops sorry, kula . "Na nyie watangazaji hapo, this is too big for u" hivyo ni vipande vya antivirus! Sugu pamoja sana, songa mbele!
 
Sasa watanzania wameanza kuelewa kuwa CHADEMA ni sugu. Tambo za CCM zinaanza kuishia ukingoni. HAKUNA CHA 80% mwaka huu. Hongereeni wana CHADEMA keeeep it uuuuuuuuuuuuuuup
 
Sugu moto chini Sugu moto chini aha aha ahaaaaa

Last edited by a moderator:
"Watoto wa magorofani, hamjui mimi ni nani, ni sugu maza f***ker nimekuja kuwapaka" Kibonde na mboga wenzio mkawe mkao wa kuliwa oops sorry, kula . "Na nyie watangazaji hapo, this is too big for u" hivyo ni vipande vya antivirus! Sugu pamoja sana, songa mbele!

Leo nitacheka sanaaaa tu
 
Back
Top Bottom