Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,474
- 39,987
Amerudi kwa asilimia 75 akija na jina jipya "Chuma cha Pua"..
Ndivyo anavyo jiita sasa hivi....baada ya speed and standard....haha ha ha uzee bana.Amerudi kwa asilimia 75 akija na jina jipya "Chuma cha Pua"..
Amerudi kwa asilimia 75 akija na jina jipya "Chuma cha Pua"..
Kwa busara za kawaida hawa wote nadhani ndiyo ngwe ya mwisho hii kugombea nafasi za uongozi!
Si alikwisha sema atastaafu hapo 2015