Elections 2010 CONFIRMED: Samwel Sitta arudi kwa kishindo - Urambo Mashariki

Hongera 6 lakini mzee wa mvi anakusubiri kukuondoa kwenye uspika wako.Uwe chuma cha pua kwelikweli.
 
Namkubali Mzee Sitta, akiwa bungeni hata upinzani huwa anawapa nafasi tofauti na yule mama wa kihehe mwenye roho mbaya mpaka sura imemshiuka
 
6 kwa kweli anajitahidi kuwa makini; yule "matoto ya ndege" huwa yuko bias sana anajisahahu kabisa
 
Huyu mzee anauma na kupuliza huwezi jenga ofisi ya Bunge jimboni kwako wakati uspeaker huwa unarotate,Nadhani CCM walikuwa wanampoza ili aache kukomaa bungeni nae akaingia mkenge
 
Uspika kwake ndiyo bye bye. Atabaki kuwa MP wa kawaida tu na heshma ya former Speaker.
 

Mwenye roho za kwa nini haoooooo...wameanza. Hakuna mtu ambaye ameshaongoza bunge letu kwa viwango vya 6. Hiyo ndiyo fact.......na atapeta tu hata upinzani wanamkubali wamepewa nafasi nzuri kutokana na 6 kusimamia mabadiliko makubwa ya kanuni. Mtakalia hivyo hivyo ofisi ofisi kila mkiamka ofisi ofisi.Ofisi ya Mbunge SIYO YA SPIKA. Get it through your thick skull.:peep::caked:
 
Hongera Mzee Sita, tunakuombea uwe Spika wa Bunge tena na Mungu akuongoze ktk kuwawezesha watoto wako kina Halima, Mnyika, Lema, Zitto, Mzee mwenzio Mbowe na wengine kutumia nafasi yao vizuri kuleta mapinduzi ndani ya Bunge kwa Maslahi ya Watanzania wote.

Chonde Chonde Sita ukipata hiyo nafasi Usitembee Kifua Mbele kama anavyosema Mzee asiestahili jina Mzee Kinana, yani na maanisha ni mzee kwa umri lkn si kwa heshima (Kinana). Bali ongoza Bunge letu tukufu Kwa maslahi ya Watanzania wote.
 
Unless tukipata speaker mwingine ndo twaweza jua Sita alikuwa mzuri au lah otherise huwezi mfananisha na Msekwa au Mkwawa
 
Tunajua kuna mbinu chafu za mumchomoa sita ! mtu safi wa viwango ,mapungufu yapo ya kila mtu ..Kamati kuu tunajua hamtaki sita ,inamtaka kinana ......shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiit...sababu ana balance bunge ! sasa wakikosea kutomchangua ndio mwanzo wa ugomvi ! kinana alishakua banzoka iliyokosa utamu ..ambayo ni ya kutema ! sita rudi lea vijana wako !
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom