Elections 2010 CONFIRMED: Phillip Marmo is out - a humiliating defeat for a longtime MP

To me this is one of the great nuwz to receive in this hour. Si mnamkumbuka huyu jamaa alivyokuwa na majibu ya kejeli? Mkjj urais hapo vp napo wamenyuti kutoa matokeo?
 
asante kwa taarifa mkuu Mwanakijiji,pamoja na kuchelewesha kutangaza kwa makusudi ili waweze kuchakachua kura za Urais lakini wameshindwa kubadili ya ubunge! Safi sana na hongera Mh. akoonay.
 
Saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaafi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, huyu mzee bogas sana, Watapata urais lakini na sisi tumepata wabunge makini, tunatarajia 2015 kuikamata nchi yoooooooooooote kabisa.Hongera wana CHADEMA kwa mshikamano na upendo.
 
Viva wanamageuzi, Viva wanamapinduzi! Huyu bwana ni miongoni mwa wale ambao walikuwa na jeuri na 'kibri' ya madaraka, wacha aonyeshwe kwamba yana mwisho hayo
 
Huyu jamaa alikuwa jeuri sana hasa baada ya kuhongwa cheo na CCM kuachana na G55.
 
Pamoja na kuchakachua ndo akajitahidi akapata kura hizo. Peoples power haitaki utani
 
what a relief, mungu yupo nasi, huyu mtu alikuwana na kiburi sana mungu kampiga kofi vibaya sana chadema hoyeeeeeeeeeee
 
Aisee raia sasa hawaangalii makunyazi.
Yaani hawajali kama ulikuwa waziri wala ulikuwa swahiba wa Kikwete. Watu wanabwaga tu.
Swafi sana.
 
It is totally shame for this elder..

i was so quite during this year campaign ila naweza kusema maneno machache.

1.CCM imeshindwa kwasababu wananchi wamemchoka mkwere ambaye watu wamemchoka
2.CCM imeshindwa uchaguzi baada ya kushindwa kuleta mabadiliko ambayo wananchi waliyategemea ndani ya kipindi cha miaka mitano kinachoishia sasa
3.CCM imeshindwa sababu ya makundi ambayo yalijengwa ndani ya CCM.

All in all wananchi wameamua kufanya mabadiliko na kazi kubwa ambayo imefanywa na JF kwa muda mrefu,kwa umakini mkubwa,uzalendo wa khali ya juu sasa imelipa..
 
I like this! Nilipenda sana Chiligati naye angeondoka lakini bahati yake!!!
 
Ngoja niwasalimu ndugu zangi wa Mbulu kwa Ki-iraq Saitaa, Aidomaa Aidorii mmenifurahisha sana huyu jamaa alikuwa bungeni toka enzi za kina chief E;ias Sarwatt nadhani ndio alimuachia ubunge miaka ya 70-80 duh Wambulu mmenifurahisha sana nadhani leo ni raha tupu pale Endagikot, Kainamu, Harka, Issale, Gehandu n.k
 
mbulu imeshinda?safi sana
wanainchi hongera zenu sana

Chiligati na wengineo sio kwamba wamepata bahati,matokeo mengi ni wizi mkubwa tu
ebu ona ya Kigoma mjini
 
alifikiri mfumo aliokuwa anautetea utambeba siku zote. kwishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom