Elections 2010 CONFIRMED: Nyamagana - CHADEMA (Wenje) watangazwa rasmi washindi

Wana mwanza nawapongeza sana hakika mmefanya maamuzi ya makubwa na ya busara sasa tunasubiria kifo cha
mzee wa star tv nadhani hatasalimika

Duh ila naskia wananchi wamefanya kufuru Jengo la jiji vioo vyote vimevunjwa na baadhi ya nyumba zimechomwa moto
aliyeko ktk tukio atupe tathmini
 
Masha sasa arudi kwa muungu wake Ridhiwani amrambe miguu ili lau ateuliwe kwenye ubunge wa aibu. Huu ni ushindi dhidi ya familia fisadi ya Kikwete na ufalme wao mpya wa Danganyika.
 
Bila nguvu ya umma wangechakachua..walijua hapatakalika khekheekhehehhheh.....Peoplessssssss.............?????????????????????????????????????

Ina maana matokeo hayatolewi ni mpaka matu wachome majengo moto? hii ni tume ya kidhalimu. wana maana gani haswa? au wanatufundisha nini?
 
Ningemshauri Masha akusanye vitabu vyote vya sheria alivyotumia akiwa chuoni kuhakikisha kuwa anawatetea fisadiz wote na yeye akiwemo maana upepo utaanzia bungeni hadi juu. Fedha za Deep Green, Meremeta lazima zirudi...no other option.
 
party kwa kwenda mbele
wabheja wana-mwanza

Arusha kuna wimbo tunaimba mji mzima wa kushangilia......kama unataka na nyie mkaimbe mjini kwenu niPM nikupe lyrics...mtaupenda
 
Ilemela tayari iko chini ya udhibiti halali wa kamanda wa CHADEMA. Wadogo zangu wawili wa kike walikuwa Nyamagana wamekomoa manyani si mchezo! Hongera sana Mwanza kwa kuweka heshima ya jiji! Hiyo ndiyo kanda ya ziwa babaaaaaaaaaa! Huko BK JK chali ya mende ila kwa ujumla ubunge hali mbaya!
 
Inatia moyo kuona kwamba watanzania wameanza kufahmu ni kwanini maisha yao yanakuwa duni na ilhali nchi yao ni tajiri. Na jibu lake ni viongozi wabovu, wabinafsi, na sera mbovu zisizo na tija kwa wananchi. Mimi binafsi nawabongeza wananchi wote walioupigia upinzani kura maana CCM wametuhalilisha !!:A S angry:
 
Asanteni sasa wana-Nyamagana kwa kuwaokoa Watz kutoka kwa jizi liliokubuhu -- Lau Masha. Huyu jamaa alishiriki katika kutuibia mabilioni kupitia kampuni fake ya Deep Green na pia alikuwa ananyemelea kutuibia tena mabilioni kutoka zabuni za vitambulisho vya taifa!

Kweli mmeiokoa Tanzania, hongereni sana. CCM kazi yao ni kusimika majizi serikalini -- lakini Chadema inafanya kila jitihada kuyang'oa. Jizi jingine kule Rombo nasikia limebwagwa, na wana_bariadi wakimtokomeza yule wa kwao -- Vijisenti -- mabo yatakuwa mazuriiiiiiiiiii!!!

CHADEMA JUU!!!!!!

WIZI NA UFISADI ZIIIIIIIIIIII!!!!!
 
NATAKA NIMJUE LAURENCE MASHA. KWA NINI WANATAKA ARUDI KWA NGUVU. NINA WASIWASI BNA MRADI WA VITAMBULISHO VYA TAIFA. WANAJAMII HEBU TAFUTENI TAKWIMU MAANA KUNA TETESI KUWA ALIGAWA SANA MSHIKLO HAPA MWISHONI:A S angry:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom