Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
Hivi CCM walitaka kurekebisha gani?
Atakuja hapa na tai yake muda si mrefu..bwahahahaha......kama namuona FMES alivyonuna.....
bugando VIP nyambafNasikia Masha yupo hoi kwa presha
Kuna any updates za Ilemela? au wameshachakachua?
Toa figure mkuu!! data pls
Figure si hizo hapo jamaa kaweka au unataka zipi tena?
KURA:
CHADEMA (Wenje): 38,171
CCM (Masha): 27,883
Figure si hizo hapo jamaa kaweka au unataka zipi tena?
KURA:
CHADEMA (Wenje): 38,171
CCM (Masha): 27,883