Elections 2010 CONFIRMED: Nyamagana - CHADEMA (Wenje) watangazwa rasmi washindi

tugeme kusesema sesema malunde,asanteni wana ngw'anza na shy kwa kufanya mabadiliko,eti watani wa JK hakuna cha utani kazi kazi tu
 
Diallo naye alishakubali matokeo tangu mchana. Tunaomba idadi ya kura tafadhali...!!!
 
Masha askonde yeye bado kijana mdogo, arudi zake IMMA au akjipange upya kisiasa ila dharau, matambo na kiburi vimemponza dogo Masha.
 
Imetangazwa knye star Tv hivi punde kuwa Lawrence masha ameanguka ktk jimbo la nyamagana na Eze Wenje wa CHADEMA AMEKUWA MBUNGE MTEULE. PIIIIIIIIIIIIIIIPOOOOOOOOOOOOOZZZZZZZ PPPPPPPAWAAAAAAAAAAAAAAA
 
ccm wap...............bafu saaaana. acha waendelee kukaidi sauti za watoto wa Mungu. Mwaka 2015 watakutana na kiama cha kihistoria. Nyamagana ipo mikononi mwa chadema hata ITV wametangaza tayari.
 
Figure si hizo hapo jamaa kaweka au unataka zipi tena?

KURA:

CHADEMA (Wenje): 38,171
CCM (Masha): 27,883

Huyu mwana haramu****** masha, akale mshipa. Ametuonea sana bwana, hadi wake za watu anakunyang'anya mchana kweupe. Mola si Athumani
 
Yaani ni raha sana...na kwakuwa ni mwisho wa mwezi..nahisi sato wataliwa wakiwa dagaa.

Hongereni wana Mwanza. Bado Mbeya mjini, Ilemela, Kigoma, Hai , Kawe na Ubungo na kwingineko. Kesheni ndugu zangu, kwa kuwa hamjui siku wala saa, CCM watakapochakachua matokeo.
 
Figure si hizo hapo jamaa kaweka au unataka zipi tena?

KURA:

CHADEMA (Wenje): 38,171
CCM (Masha): 27,883

Hongera wana Mwanza,sauti yenu imesikika tena kw anguvu zaidi;Masha alisahau kuwa ili uwe Waziri lzm uchaguliwe kwanza kuwa Mbunge wa Nyamagana!

Kura zaidi ya 10,000 huwezi "kuchakachua",kama wangekuwa neck-to-neck pasipo shaka yeyote ile uchakuchuaji ungefanyika
 
Mbeya ingawa hawajatangaza but mpinzani wa sugu yupo hoi hospital ya mkoa. Kimemsibu nini? Bado sijajua.
 
Imbeni, Shangileni enyi wana na binti za Tanzania kwa maana Mungu amesikia kilio chetu, Ametutoa kwene makucha ya Fisadi Mramba, Batilda, Masha nakadhalika pia. Si kwa nguvu wala uweza bali ni kwa.....................................
Bye byeeeeeee thithimuuuuuuuuuuuuuuu.
 
Ila Hii Noma sana, Kutoka Kupita Bila Kupingwa Mpaka Kuangushwa Ubunge, Mbaya zaidi JK alishamtangaza kama Mbunge wa Nyamagana aliyekuwa anasubiri kuapishwa

Ndiyo maana alimpiga Fitna Wenje kumbe alikuwa anajua moto wake
 
sivibaya kujikumbusha , je mnakumbuka Tukio hili , huyu mama aliamia ccm akidhani WENJE ATAYUMBA , SIKU 6 KABLA YA UCHAGUZI MKUU

 
Back
Top Bottom