Elections 2010 CONFIRMED: Nyamagana - CHADEMA (Wenje) watangazwa rasmi washindi

Hatimae majira ya saa 1 kasoro kumi hivi mwanza kimeeleweka kwa kura 38elf za wenje dhidi ya 27elf za masha wa nyamagana.. Sasa nina amani maana shinyanga nayo pameeleweka na maswa zote mbili pia meatu.. Hongereni wapiganaji
 
Wamepima wakaona watachafua hali ya hewa. Wananchi kukaa kulinda kura zao kunalipa. Watu wa Ubungo nanyi kaeni hapohapo mpaka kieleweke
 
Sherehe sasa chadema inabidi muwe makini sana ule uchaga uchaga ule muuondoe.wATU WAMECHOKA NA MAFISADI,Wamechoka kufannywa mgongo wa kutajirisha watu kama kina masha
 
Penye shari mungu huweka shari na penye heri mungu huweka heri pia,byebye masha utabebwa kivingine viti maaalumu ila kwa sasa kula hazitoshi,no matter how money you have peoplessssss powerrrrr always shout
byebyebyebyebyebyebye mashaaaaaaaaaaa

mapinduziiiiiiiiiiiiii daimaaaaaaaaaaa
sawa sawaaaaaaaaaa​
 
Nyamagana nyumbani saaaaaaafi sana sipati picha hapo mitaa ya bugarika, igogo, nyegezi na bugando!!
 
They look like computer generated figures, anyway, kwakuwa Wenye kashinda hamna tatizo lakini angepitishwa huyo f****di tungeandamana.

Right!

Kuna mdau mmoja kapost pale juu namna hii:

Wenje: 38,171

MASHAVU: 27,883

Nadhani hizi ndizo zilizo sawa
 
nina raha sana apa,party wapi wana mwanza kwa ushindi huu wa KIHISTORIA MWANZA?
wasingeiba pale walahi we were ready for anything
 
Duh fainally after a lot of pressure. Mara kikwete kaenda mwanza mara uchakachuaji..... sasa presure imeshuka
 
ChademaTz Jimbo la Nyamagana - Ezekiah Wenje (CHADEMA) 38,171 Lawrence Masha (CCM) 27,883. CHADEMA! #Uchaguzi #Tanzania
 
Ati Masha ndo alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani. Ipo haja ya kubadili KATIBA if possible mawaziri wasiwe wabunge/wanasiasa kabisa. Ziwe kazi za kitaalamu akina Consultant tuziombe kama kawaida.

Au kama vipi, iwe clear mida kama hii wizara ya mambo ya ndani ipo chini ya uangalizi wa nani
 
Masha kapatikana wapi kusaini matokeo? Au yametangazwa bila sahihi yake? Maana watu walisema amekimbai mji, wengine wakasema kalazwa hospitalini
 
bado ilemela, nao lazima wasalimu amri tu watutangazie ushindi..........! hureeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom