Elections 2010 CONFIRMED: Nyamagana - CHADEMA (Wenje) watangazwa rasmi washindi

walikuwa wamebana kumbe figure ilikuwa kubwa kiasi chote hicho?fisadi masha lazima aende lupango mwaka huu............hongera wenje
 
Navyojua mwanza milimani basi kungekuwa ndo city centre na mitaa ya kati kusingekalika.
 
kudadadeki, wanamwanza komaeni hadi kieleweke ILEMELA pia
 
swafi saana ukombozi unazidi kuja, haki hucheleweshwa tu walidhani watachakachua eenh bado kwa diallo sasa.
 
Mwanza nderemo na vifijo. Mapinduzi Nyamagana na Ilemela mikononi mwa Chadema. Maanake ilikuwa ngumu kuchakachua. Watanzania wabadilika jamani. Yaani mpaka raha
 
Mkulu akishindaurahisi lazima atampa ulaji tu.......loh masikini natamani kuiona sura yake.
 
Back
Top Bottom