CONFIRMED: Nyamagana - CHADEMA (Wenje) watangazwa rasmi washindi


N

Nampula

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2007
Messages
254
Likes
1
Points
0
N

Nampula

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2007
254 1 0
walikuwa wamebana kumbe figure ilikuwa kubwa kiasi chote hicho?fisadi masha lazima aende lupango mwaka huu............hongera wenje
 
DICTATOR

DICTATOR

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2010
Messages
392
Likes
1
Points
0
DICTATOR

DICTATOR

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2010
392 1 0
Navyojua mwanza milimani basi kungekuwa ndo city centre na mitaa ya kati kusingekalika.
 
Pape

Pape

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Messages
5,513
Likes
31
Points
0
Pape

Pape

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2008
5,513 31 0
Nasikia Masha yupo hoi kwa presha :)
 
coby

coby

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2008
Messages
342
Likes
1
Points
35
coby

coby

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2008
342 1 35
kudadadeki, wanamwanza komaeni hadi kieleweke ILEMELA pia
 
P

prossy

New Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
4
Likes
0
Points
0
P

prossy

New Member
Joined Nov 1, 2010
4 0 0
Nyamagana

Wenje (chadema)=38171

Masha(CCM)= 27883
source stat Tv.
 
Chimunguru

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2009
Messages
10,429
Likes
1,387
Points
280
Chimunguru

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined May 3, 2009
10,429 1,387 280
swafi saana ukombozi unazidi kuja, haki hucheleweshwa tu walidhani watachakachua eenh bado kwa diallo sasa.
 
Consultant

Consultant

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2008
Messages
7,585
Likes
10,027
Points
280
Consultant

Consultant

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2008
7,585 10,027 280
wenje 38,800 na masha 27,800
You are the Negotiator! - wengine ungwini mwiiiiiiiiiiingi badala ya kuweka vitu simple and clear. FIGURES speak LOUDER than words. Thanks
 
freethinker

freethinker

Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
29
Likes
0
Points
0
freethinker

freethinker

Member
Joined Nov 1, 2010
29 0 0
Mwanza nderemo na vifijo. Mapinduzi Nyamagana na Ilemela mikononi mwa Chadema. Maanake ilikuwa ngumu kuchakachua. Watanzania wabadilika jamani. Yaani mpaka raha
 
Deodat

Deodat

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2008
Messages
1,279
Likes
52
Points
145
Deodat

Deodat

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2008
1,279 52 145
wenje 38,800 na masha 27,800

They look like computer generated figures, anyway, kwakuwa Wenye kashinda hamna tatizo lakini angepitishwa huyo f****di tungeandamana.
 
Aza

Aza

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2010
Messages
1,703
Likes
49
Points
145
Aza

Aza

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2010
1,703 49 145
nahisi nifanye nini sijui
aleluja
 
Consultant

Consultant

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2008
Messages
7,585
Likes
10,027
Points
280
Consultant

Consultant

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2008
7,585 10,027 280
Duh kwa hiyo walikuwa wanataka kuiba kura 11,000??? kweli mwizi ni mwizi tu
Kama difference ingekuwa kama kura 500, MASHA angekuwa mbunge. Ndo kinachofanyika Kigoma mjini mida hii..
 
K

kazideo

Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
5
Likes
0
Points
0
K

kazideo

Member
Joined Nov 1, 2010
5 0 0
Eeeh hayo ndio mabadiliko sasa tunayoyataka

WAMEBANA WAMEACHIA
 
MwanajamiiOne

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined
Jul 24, 2008
Messages
10,476
Likes
113
Points
145
MwanajamiiOne

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined Jul 24, 2008
10,476 113 145
Mkulu akishindaurahisi lazima atampa ulaji tu.......loh masikini natamani kuiona sura yake.
 

Forum statistics

Threads 1,272,334
Members 489,924
Posts 30,447,895