Muhambwe c ndo kwa Ntagazwa huko, ama? Kwa hakika wana wa Kigoma wamenikosha sana kwa spirit yao. Viva Mapinduzi. Aluta Continua
Mjimbo mengine ya Kigoma vipi huko?
nccr mageuzi hatimaye watanganzwa washindi na nec wilayani kibondo saa 10 alfajiri hili ni jimbo la muhambwe.
Upinzani wakifika mia itakuwa njema sana